Uchambuzi Vikosi na Odds: Tottenham vs Vitesse

Tottenham watakuwa wenyeji wa Vitesse katika michuano ya Europa Conference League na utakuwa mchezo wa kwanza wa kocha Antonio Conte tangu achaguliwe kuwa kocha mkuu wa Spurs kufuatia kutimuliwa kwa Nuno Espirito Santo kwa hiyo utakuwa mchezo wa kipekee kwa Tottenham.

Uchambuzi Vikosi na Odds: Tottenham vs Vitesse
Wiltek akiiadhibu Tottenham

Spurs wanakuja kwenye mchezo huu wakiwa wametoka kwenye kipigo cha 3-0 kutoka kwa Manchester United lakini pia wanakumbukumbu ya kupoteza kwa 1-0 kutoka kwa wageni wao wa leo mchezo wa awali sasa utakuwa mchezo wa kisasi kwa Spurs.

Taarifa ya Timu

Ujio wa Conte huko London utawafanya Spurs kwenda mfumo wa 3-5-2 lakini Bryan Gil na Ryan Sessegnon ni kama hawatohusika kwenye mtange wa leosababu ya majeraha ya misuli.

Joe Rodon, Matt Doherty na Dele Alli watapata fursa ya kucheza chini ya usimamizi mpya ambaye atawachezesha Harry Kane na Lucas Moura mbele.

Kwa Upande wa Vitesse mfungaji pekee wa mechi iliyopita Wilttek anaweza asihusike kwenye mchezo huu sababu ya jeraha wakati mlinzi wa kushoto Million Manhoef pia anasumbuliwa na jeraha la goti hivyo hatacheza leo.

Yann Gboho atacheza kushoto baada ya kucheza eneo la katikati wikendi iliyopita wakati Matus Bero anarejea baada ya kumaliza kutumikia adhabu yake.

Kikosi cha Tottenham Kinachoweza Kuanza: Gollini; Tanganga, Romero, Rodon; Doherty, Alli, Hojbjerg, Skipp, Reguilon; Kane, Lucas

Kikosi cha Vitesse Kinachoweza Kuanza: Schubert; Doekhi, Rasmussen, Bazoer; Dasa, Bero, Tronstad, Gboho; Frederiksen, Openda; Darfalou

ODDS BOMBA ZA KUBASHIRIA MECHI HII

Mchezo umalizike kwa magoli manne au zaidi (over 3.5) Odds 2.55

Wa nyumbani kushinda na yapatikane magoli 0-2 (1&0-2) Odds 3.65

Timu zifungane na yapatikane magoli matatu au zaidi (GG&3+) Odds 2.70

WEKA MKEKA WAKO HAPA


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.