Unai Emery: Nilimkanya Martinez Kuwa Sipendi Lakini Hakunisikiliza

Kocha wa Aston Villa Unai Emery amefichua kwamba alisikitishwa na uamuzi wa Emiliano Martinez kwenda kufunga mpira wa kona dhidi ya Arsenal. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

Unai Emery

Arsenal wakiwa mbele kwa mabao 3-2, kipa wa Villa Martinez alikuwa akijaribu kuisaidia timu yake kupata bao la kusawazisha katika dakika ya mwisho ya mchezo huo mgumu.

Hata hivyo, uamuzi wake wa kupiga kona uligonga mwamba, huku Arsenal wakianzisha shambulizi la kashitukiza kabla ya Martinez kurudi nyuma na Gabriel Martinelli akaweza kufunga bila kupingwa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Emery alisema kuwa ulikuwa uamuzi wa Martinez kupiga kona na kwamba hakukubaliana na chaguo la mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30.

 

martinez

Kocha wa Aston Villa pia alimkosoa kipa wake Martinez baada ya mchezo kumwambia alifanya uamuzi mbaya. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Akizungumza baada ya mechi, Emery alisema: “Aliamua mwenyewe kupanda. Ni wahusika wakuu lakini nikamwambia sipendi.

“Nilimwambia kwamba… Labda [makipa] wanaweza kufunga katika historia mara moja au mbili, kuna mabao zaidi yaliyofungwa dhidi yako. [Sisi] tulipoteza muda zaidi kuliko ninavyotaka.”-Unai Emery, Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.