Umewahi kufikiri mchecheto unaoweza kuwa nao pale unaposubiri ushindi mkubwa kama milioni 29 kwa dau dogo tu? Basi nakuibia siri ya mteja wetu makini kutoka moja ya duka letu jijini Dar es Salaam aliyeshinda TSH Milioni 29.

Hakika Valentine ya mteja wetu imemkuta akiwa na tabasamu maridadi akifurahia ushindi. Hapa nakuibia siri kidogo ya amefanya nini kuweza kuunasa ushindi huu wikiendi iliyopita.

Mteja wetu alikuwa makini kufanya chaguzi zake kati ya machaguo mengi zaidi ya 1000 yanayopatikana Meridianbet pekee. Mahali ambapo unaweza pia kufurahia sloti za kasino ya mtandaoni.

Mteja wetu makini alifanya ubashiri ufuatao uliomtoa kimaso maso.  Kwenye tiketi yake alianza kwa kubashiri AC Milan vs Sampdoria na ubashiri wake ulikuwa 1X & 0-4 (Yaani mwenyeji ashinde au matokeo yawe sare na magoli yapatikane kuanzia sifuri hadi manne) mapema dakika ya 8 tu alianza kuona mwanga wa ushindi mwenyeji akipata bao lake la kwanza na la pekee gemu ikaisha kwa 1-0.

Gemu ya AS Monaco vs FC Lorient pia aliipa utabiri kama ule wa awali wa 1X & 0-4, alihitaji subira tuu na matokeo ya mechi yakawa sare 0-0 kama alivyotabiri. Barley vs Liverpool ni gemu nyingine aliyoipa ubashri wa X2 & 0-4 (Yaani matokeo yawe  sare au mgeni aondoke na ushindi na magoli yapatikane kuanzia sifuri hadi manne) na dakika ya 40 ilitoa mwanga wa tiketi yake kwa goli moja na la kipekee na matokeo yakawa 0-1.

Union Berlin vs Borussia Dortmund ambao utabiri wake ulikuwa X2 & 0-4 na mapema kuanzia dakika ya 18’ 25’ 71’ tayari alikuwa na matumaini na gemu hii iliyoisha kwa 0-3.

Huu ulikuwa muda wa kubana pumzi kidogo!

Ubashiri wa mechi za Sassuolo Calcio vs AS Roma, Atalanta BC vs Juventus, Espanyol vs FC Barcelona ndiyo ubashiri ambao mteja makini pumzi zaidi. Uvumilivu haukumsaliti na dakika za 90+’ kwenye gemu hizi zote, mkeka ukatema bashiri sahihi za X2 & 0-4 kama alivyobashiri.

Juventus walirudisha goli dakika ya 90+2’ kupitia Danilo na kusawazisha. Barcelona pia walipata bao la kusawazisha dakika ya 90+6’huku Roma naye akiona lango kurejesha bao la pili dakika ya 90+4’. Hii Inaweza kuwa wewe.

Uvumilivu na ujasiri ndiyo uliomlipa vyema mteja wetu, ambaye alikuwa na chaguo la kutoa pesa yake wakati mechi hazijaisha kupitia Turbo Cash inayopatikana Meridianbet pekee, lakini alichagua kusubiri.

Ushindi sio wake peke yake, hata wewe una nafasi ya kushinda pia kwa dau dogo tu la kujipimia kuanzaia TSH 100 na unaweza kuchagua machaguo kibao ya kubeti ukiwa kwenye maduka yetu na pia kubeti mtandaoni.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa