UEFA: Kanuni Mpya Kuanza Kutumika Leo

UEFA imepitisha sheria ya kufuta faida ya goli la ugenini na kanuni hiyo mpya inatarajiwa kuanza kutumika kwenye michezo ya leo ya kumi 16 bora ambapo timu ya ugenini haitakuwa na faida tena ya goli la ugenini.

Shirikisho mpira wa miguu barani ulaya UEFA limefanya marekebisho ya sheria goli la ugenini, kwenye mashindano yake ya Champions League, Europa League, na Conference League, mabadiliko haya itafanya timu zote shiriki kuweza kubadili mbinu zake na kutotegemea tena faida ya goli la ugenini, ili kuweza kuvuka kwenda hatua inayofuata.

UEFA

Kuanzia leo ikiwa timu zimeshinda goli nyingi ugenini na mwengine nae akafanikiwa kushinda nyumbani, na uwiano wa magoli uko sawa, basi mchezo huo utakwenda kwenye dakika za nyiongeza na wakishindwa kupata mshindi basi penati ndio zitaamua nani anavuka hatua nyingine.

Rais wa UEFA Aleksander Ceferin alinukuliwa akisema “licha ya kufanya mchezo uvutie, ni sawa kusema kuwa sasa faida ya goli la ugenini halipo tena, kama ilivyokuwa inatumika hapo awali kutokana na mapitio ya mara kwa mara barani ulaya kwenye kwenye stayle ya uchezaji na sababu nyingine nyingi tumeamua kufuta faida ya goli la ugenini.

“Mkutamo mkuu wa UEFA umefanya maamuzi sahihi kulingana na hali iliyopo kuwa si sawa goli la ugenini liwe na thamani kubwa kuliko goli la nyumbani.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe