Timo Werner mshambuliaji wa Chelsea amekiri kwamba anaukame wa kufunga mabao licha ya kuchangia magoli yote katika ushindi wa wa Chelsea wa 2-1 dhidi ya Sheffield United.

Thomas Tuchel amendeleza wimbi la ushindi kwa Chelsea tangu achukue mikoba ya kuinoa timu hiyo mabao yaliyofungwa na Mason Mount na Jorginho na kufanya kukamilisha ushindi wa tatu mfululizo kwa bosi huyo mpya na kuisogeza Chelsea mapaka nafasi ya tano,
Lakini, licha ya The blues kufurahia ushindi huo Timo Werner alidaia kwamba alikuwa katika wakati mgumu na amekuwa akipambana kuzifumania nyavu kwa muda mrefu.
Alipoteza maoni kwamba alipaswa kupiga penati iliyofungwa na Joginho baada ya kuchezewa madhambi na golikipa wa Sheffield.
“Labda kwa siku zijazo naweza kupiga lakini kwa sasa, nahitaji kufunga magoli ya kawaida kwanza kabla ya kuanza kupiga penati,” alisema Timo Werner.
“Ilikuwa ni penati ya wazi na nilishangazwa kwanini haikuamuliwa moja kwa moja mpaka VAR ilipomsaidia refa.
Wakati huohuo, Werner alimsifia sana mataifa mwenzake Tuchel, ambaye amepata ushindi mara tatu mfululizo na kutoa sare katika mchezo wake wa kwanza akiwa kama kocha mkuu wa Chelsea.
“Kila kocha anatofauti, anatupa mawazo mengi na kwa sasa nacheza upande wa kushoto na naweza kucheza nyuma ya straika au kama namba kumi.
Unaweza kuvuna mkwanja mrefu kadiri uwezavyo kupitia mchezo wa Gold n Rocks kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ni rahisi! Vigezo na masharti, kuzingatiwa.



warda
Ndo ajitahidi sasa ila sio mbaya kwa kutoa asist
Magdalena
Akazane Sana maana Chelsea awachelewi kumtema
Dorophina
Timo inabidi haongeze juhudi
Venerose
Timo yupo vinzur na anaweza
Angelina
Nice update
Ernest Kimeru
Werner anaongea sana hana vitendo kwa style yake labda wamuachie jukumu la kupiga penati
Rahma
Asante kwa taalifa
Mwanahamisi
Asante kwa taalifa
Sania
Timo onyesha makali
lombo
sawa
Lydia Emmanuel Magoti
Akaze najudi ziongezeke
Ester mmakasa
Ataweza akijitahidi na akiwa na nia .
Sylvester
Anavosema Timo ni kweli inabidi afunge magoli kwani ni mda sasa toka afunge goli na yy ni mchezaji wa kimataifa
Hopemwaikuka
Funga tu