Makala nyingine

Baada ya vipimo mbalimbali kufanywa kwa nyota wa Denmark Christian Eriksen sasa imekubalika kuwa mchezaji huyo atawekewa kifaa maalum cha kusaidia kushtua moyo kiitwacho ICD (Implantable Cardioveter defibrillator). Kifaa hiki …

Harry Maguire amejitangaza kuwa yuko fiti na yuko tayari kucheza England dhidi ya Scotland Ijumaa usiku. Mchezaji huyo wa miaka 28 hajacheza kwenye klabu wala nchi tangu aumie kifundo cha …

Mchezaji aliyeng’aa sana katika mechi ya kwanza ya Uingereza katika michuano ya Euro 2020, Kelvin Philips ameeleza namna ambavyo alishangazwa na ubora wa nahodha wa timu hiyo, mchezaji wa Tottenham …

Huku tetesi nyingi za usajili zikiendelea kwenye ligi kuu bara, Msimbazi kuna sitofahamu kubwa kuhusu nafasi ya viungo wakabaji wa timu hiyo, Gerson Fraga anahusishwa kurudi Msimbazi huku Jonas Mkude …

Aaron Ramsdale amechukua nafasi ya golikipa wa Man United na Timu ya Taifa ya Uingereza – Dean Henderson katika muendelezo wa Euro 2020. Henderson alipata majeruhi ya paja ambayo yanaendelea …

Michuano ya EURO 2020 imeanza kushuhudia maajabu baada ya mechi kadhaa za mzunguko wa kwanza kukamilika hapo jana. Mchezo wa Euro 2020 ulioshangaza wengi ni ule wa wa Scotland dhidi …

Cristiano Ronaldo alionekana mbele ya waandishi wa habari kuzungumzia mambo yote Ureno kabla ya kampeni yao ya Euro 2020 kuanza Jumanne, lakini alibanwa wakati mmoja juu ya hatma yake katika …

Cristiano Ronaldo kama atafanikiwa kucheza michuano ya EURO, 2020 ambapo mchezo wao Portugal vs Hungary utapigwa kesho, basi anaweza kuvunja rekodi zifuatazo: 1️⃣- MCHEZAJI ALIYECHEZA MASHINDANO MENGI ZAIDI YA EURO …

Kylian Mbappe anakiri kwamba “aliathiriwa” na malalamiko ya Olivier Giroud juu ya wachezaji wenzake wa Ufaransa kutompatia pasi lakini anasisitiza kuwa hataki kufanya kuwa suala kubwa. Giroud alisema baada ya …

Kocha wa sasa wa As Roma, Jose Mourinho amemfananisha mchezaji wa Aston Villa Jack Grealish na nguli wa soka wa zamani legendari Luis Figo. Zikiwa zimesalia saa chache tu kabla …

Memphis Depay anafikiria tu kwanza mashindano ya Euro 2020 na timu yake ya Uholanzi, na mustakabali kuhusu hatima yake ameweka pembeni kwanza kwa sasa. Mholanzi huyo anaondoka Lyon msimu huu …

Michuano iliyosubiriwa kwa hamu kubwa ya Euro 2020 inategemewa kuanza kutimua vumbi rasmi siku ya kesho, ambapo kutakuwa na mechi moja ya ufunguzi kati ya Italy na Uturuki pale katika …

1 2 3 4 5