Raisi wa zamani wa fifa Sepp Blatter na raisi UEFA Michel Platini watasimama kusomewa hukumu yao ya kutoa rushwa ya zaidi $2 million ambayo shirikisho la mpira wa miguu ya duniani fifa kumlipa Platini.

Wote Sepp Blatter na Michel Platini wmekataa kuhusika na kosa hiloi ambalo mwendesha mashita wa nchini Uswissi aliwatuhumu mwezi novemba, ambapo inadaiwa kuwa Platini aliandikia FIFA mwezi January 2011 kulipwa malimbikizo ya mshahara wake wakati akiwa anafanya kazi kama mshauri wa Blatter kati ya mwaka 1998 hadi 2002.

Sepp Blatter na Michel Platini
Sepp Blatter na Michel Platini

Blatter alithibitisha kufanyika malipo  ndani ya wiki moja, kwenye kipindi ambacho alikuwa anajiandaa  na kampeni za uchaguzi wa kiti hicho dhidi ya mpinzani wake Mohamed bin Hammam wa Qatar na Platini alikuwa moja ya viongizi waliotumia ushawishi wake ili apate kura barani ulaya.

Mwendesha mashitaka alimshutumu Blatter kwa kupanga malipo kinyume na utaratibu kwa Platini, ambaye anadai kula pesa aliyolipwa ilikuwa ni kwa ajiri ya malimbikizo yake ya mishahara ya nyuma wakati shirikisho hilo halikuwa na pesa ya kuweza kumlipa.

Sepp Blatter na Michel Platini wote walijiuzuru nafasi zao. Blatter ambaye alitumia miaka 17 kuingoza FIFA alijiuzuru mwaka 2015 kifuatiwa na platini ambaye nae alijiuzuru 2016 na wote walizuiwa kutojishughulisha na maswla ya mpira kwa miaka 6.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa