Kama ambavyo nchi zinavyowania nafasi ya kuendesha mashindano ya Kombe la Dunia, ni vivyo hivyo kwenye Formula 1 [F1], Spanish GP mambo safi!
Uhispania sasa ni uhakika, watakua kwenye kalenda ya F1 mpaka 2026 baada ya pande hizi kufikia makubaliano na kusaini mkataba mpya wa kufanikisha hilo.

Mapema mwaka huu, Lewis Hamilton alibeba ubingwa wa Spanish Grand Prix na ifikapo Mei 22 mwakani, mashindano haya yatakua miongoni mwa mbio 23 za Formula 1 kwa mwaka 2022.
Mashindano ya Spanish GP yataendelea kutumia uwanja wa Circuit de Barcelona-Catalunya kama ilivyokuwa hapo awali.
Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.


