Gwiji wa kutoa taarifa za usajiri Fabrizio Romano ameweka wazi taarifa za klabu ya Chelsea kutaka kumsajiri mshindi mara saba wa Ballon d’Or mwaka 2014 lakini hawakufanikiwa kumshawishi kutua kwenye dimba la Stamford bridge.

Fabrizio Romano kwenye channel yake ya Youtube ameweka wazi sajiri tano zilizoshindikana kwenye utawala wa Roman Abramovich tokea ainunue klabu hiyo mwaka 2003 huku usajiri mkubwa zaidi ukiwa ni Leo Messi mwaka 2014.

Fabrizio Romano
Fabrizio Romano

Mwandishi huyo kutoka Italia ameeleza jinsi klabu ya Chelsea walivyoshindwa kumshawishi Messi kutua darajani kwenye kipindi cha pili chini ya Jose Mourinho. Haikuwa karibu, lakini Chelsea walijaribu kumsajiri Messi 2014, chini ya jose mourinho, walijaribu sana na kumshawishi kujiunga na klabu hiyo. Alisema Romano

“Chelsea waliwasiliana na watu wa karibu wa Messi na kuzungumza na mwanasheria wa karibu na messi kujaribu kumshawishi kuangalia fursa mpya kwenye ligi kuu ya Uingereza.

“lakini kila kitu hakikuweza kufanikiwa kwa sababu Messi Barcelona ilikuwa kitu muhimu kwake, yeye na familia yake kwa pamoja waliamua kubaki Barcelona na kuendelea na maisha katika jiji hilo,” aliongezea Romano


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa