Gareth Bale Ameikataa hadharani klabu ya Getafe baada ya kuwepo kwa mjadala wa kwamba nyota huyo wa Wales anaweza kujiunga na klabu hiyo ya LaLiga.
Angel Torres alikiri kwamba Mchezaji huyo wa Wales alipewa ofa na klabu hiyo na kwamba Getafe ingeangalia kama vigezo fulani vingetimizwa.
Ripoti zinadai kwamba mazungumzo kati ya Getafe na mchezaji huyo yalifanyika.
Angel Torres alionghea siku ya Juamtano lakini siku ya Ijumaa Bale mwenyewe alijitokeza mbele ya vyombo vya habari na kuvunja ukimya yake juu ya uvumi huo.
“Sitachezea Getafe, hilo ni la uhakika”, Bale alisema katika mkutano na waandishi wa habari.
“Popote nitakapokwenda itakuwa ni ushindi kwa sababu nitacheza mechi kabla ya Kombe la Dunia.”
ALIYA’S WISHES
Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.