Bolt: Ronaldo Anakasi Kuliko Mimi.

Ukitaja jina Usain Bolt wapenzi wa mchezo wa riadha wanajua balaa la huyu mwamba, sasa yeye anaamini Christiano Ronaldo ambaye ni mwanasoka ana kasi zaidi yake.

Bolt alistaafu riadha mwaka 2017 lakini mshindi wa medali za dhahabu mara tisa katika Olympic bado anashikiria rekodi ya dunia katika mbio za mita 100 na 200.

Bolt: Ronaldo Anakasi Kuliko Mimi.
Usain Bolt akichuana vikali na wapinzani wake.

Mwanamichezo huyo mwenye umri wa maiak 34 aliishangaza dunia kwa kukimbia muda wa sekunde 9.58 kwenye mbio za miata 100 mwaka 2009 katika michuano ya World Championship mjini Berlin, wakati pia alikamilisha mita 200 kwa sekunde 19.19 miaka 11 iliyopita katika jiji hili la Ujerumani.

Lakini Bolt anahisi mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d’Or na mwanasoka anakasi kuliko yeye mwenyewe.

“Hakika, Christiano anakasi kuliko mimi,” shabiki wa Manchester United Bolt ambaye kipindi flani alitaka kuingia soka na alipendelea kujiunga na Borrusia Dortmund aliiambia Marca Sport Weekend.

“Kwangu mimi naona anafanya kazi kila siku ni mwanamichezo mahiri.

Ronaldo amefunga magoli 6 katika Serie A msimu huu wakati mchezaji huyo mwenye umri wa miak 35 alifunga kwenye ushindi wa 7-0 mchezo wa kirafiki dhidi ya Andorra siku ya Jumatano.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

22 Komentara

    ronaldo kweli mbio zake si za kitoto

    Jibu

    Bolt awezi kufananishwa na pumzi za ronaldo za ukimbiaji

    Jibu

    Bolt anacho kisema nikweli Ronaldo anambio Lakini sio zakumpinga yeye Bolt

    Jibu

    So kweli bolt ananguvu sana

    Jibu

    Kwa hali kama hii unatamani lingewepo shindano ili kumaliza utata

    Jibu

    Ronald Yuko vizuri huwezi kumlinganisha na bolt au Kama vip tuandaye shindano

    Jibu

    Ronaldo anakimbia kama kibelenge.

    Jibu

    Ila ronaldo anakimbia jmn.

    Jibu

    Wapi buana akupat

    Jibu

    Ni cr 7 mazoez yanamfany awe bora zaid

    Jibu

    Ronaldo mtu mwngn kabisaa

    Jibu

    Ronaldo nimemuelewa sana

    Jibu

    Bolt huwez kumfananisha na cr7 katika masual ya kukimbizah upepo

    Jibu

    Cr 7 amekuwa kwenye kiwango bora sana

    Jibu

    Mm naona ni mawazo yake tu mana huwezi fananisha kukimbia riadha na kukimbiza mpira nikitu tofauti

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Bolt huwez kumfananisha na cr7 katika masual ya kukimbizah upepo

    Jibu

    Ronaldo MTU mbayaaa

    Jibu

    hadi leo hajatokea mbadala wa ronaldo,,,wengine wanamuita ”Jet ya Ardhini”

    Jibu

    Ronald anambio km kishada yuko vizuri

    Jibu

    Ila Ronaldo anakimbia jamn

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.