Broja Ageuka Lulu kwa Vilabu vya EPL na Serie A

Mchezaji wa klabu ya Chelsea Armando Broja amevivutia vilabu vikubwa vya ligi kubwa za Ulaya ambapo AC Milan, Inter,Napoli West Ham, Newcastle, na Southampton vyote vinaiwinda saini ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Albania.

Broja Ageuka Lulu kwa Vilabu vya EPL na Serie A

Broja ambaye yupo kwa mkopo Southampton amekuwa na kiwango kizuri msimu huu hali iliyopelekea kuhitajika na vilabu vyenye nguvu wakati wa dirisha la majira ya kiangazi.

Amefunga mabao 9 katika michezo 38 kwenye mashindano yote msimu huu bado haijawekwa wazi ni kiasi gani atauzwa lakini ripoti mbalimbali zinamtaja kuwa na thamani yua paundi milioni 25 na mshambuliaji huyo ana mkataba na Chelsea mpaka 2026.

Thomas Tuchel bado yupo kwenye uchaguzi kuangalia kama atampa nafasi katika timu ya kwanza Broja ambaye amepata ofa ya kucheza katika vikosi vya kwanza na timu mbali mbali.

Kikosi cha Tuchel kimekuwa kikipambana sana katika safu ya ufungaji hali ambayo imefanya wamalize msimu bila taji huenda kocha akatoa nafasi kwa timu ya vijana ili kusaidia safu ya ushambulianji.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe