Bruno Fernandes Mchezaji Bora wa Mwezi Juni.

Mchezaji wa kimataifa kutoka Ureno Bruno Fernandes ametajwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Juni katika ligi ya Premier League ya nchini Uingereza.

Bruno anaonekana kuleta changamoto mpya Old Traford inayo pelekea kikosi cha United kuwa imara, kufuataia ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Aston Villa siku ya Alhamisi imefanya Manchester United kuwa timu ya kwanza katika historia ya Premier League kushinda zaidi ya goli tatu katika michezo minne mfulilizo.

Lakini pia imeongeza idadi  ya kutopoteza michezo na kufikia 17 katika mashindano yote na Fernandes akiwa muhimili wa matokeo hayo.

Tangu Februari 1 Fernandes amehusika kwenye magoli 13 ya United zaidi ya mchezaji mwingine yoyote kwa kipindi hicho na mwezi Juni amefunga magoli matatu baada ya michezo kurejea kufuatia kusimama kutokana na janga la Corona.

55 Komentara

    Sawa anastahiri kuwa mchezaji bora

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Manchester united

    Jibu

    Anastahili Fernandez yuko vizuri sana man hawajutii kumsaini Huyo jamaa.

    Jibu

    Wawooo hongera yake Bruno#Meridianbettz

    Jibu

    Ipo poa sana kwa mashabiki wa man u na bruno fernandes kwa kuchukua tuzo hiyo maana tangia atue pale OT mambo yamebadilika sana kwa man u vipigo vikawa kama dozi kwa kila timu inayokuja kupambana na man u

    Jibu

    Ni sahihi kabisa bruno kupata hiyo sifa man u kwa sasa kikosi kipo makini htr

    Jibu

    Maoni:Hongera sana Bruno Fernandes

    Jibu

    Hapa Man U wameramba dume, Bruno ameonyesha uwezo mkubwa sana tangia amesajiriwa pia amekuwa chachu ya ushindi katika kila mechi ambayo Man U wametoboa

    Jibu

    Yupo vizuri anastahili kuwa mchezaji Bora sana

    Jibu

    Bruno anathibitisha ubora wake. Man U ni brand kubwa duniani inahitaji wachezaji world class kama huyu#meridianbettz

    Jibu

    Iko poa Sana kwa mashabiki wa
    Manchester

    Jibu

    Yes anastahili kabisa kuwahi mchezaji wa mwezi… Sikupingi

    Jibu

    Anastshili kuwa mchezaji bora

    Jibu

    Hogera Sana Bruno kwa kuwa mchezaji bora

    Jibu

    Hongera sana bruno#meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Hongera kwenu man u mnapambana sana

    Jibu

    Bruno anafaa na bado ataweka historia nyingi tu kwa united

    Jibu

    Fundi Bruno.. amestahili kuchukua tuzo mchezaji Bora wa mwenzi bigup kwake#meridianbettz

    Jibu

    Bruno amekuwa akionesha uwezo mkubwa Sana

    Jibu

    Mafanikio uja kwa juudi na kujituma so ni habari njema pia

    Jibu

    Hongera Bruno

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Hongera zake bruno

    Jibu

    Anastahili kabsaa

    Jibu

    Yuko vizuri bruno,anapaswa kuwa hivyo.

    Jibu

    Yupo vizuri hongera sana

    Jibu

    Kweli kabisa nw man u yupo vzr sana so sipingani na maneno yake.

    Jibu

    anastahil amefanya vizur sana msimu wake wa kwanza

    Jibu

    Safi Sana#Meridianbettz

    Jibu

    Bruno amethibitisha ubora wake

    Jibu

    Bruno anazidi kuweka record zake mapema

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Hii habari safii

    Jibu

    Ni vizuri maana mabadiliko yanaonekana ktk timu kwa sasa

    Jibu

    hongera sana Bruno

    Jibu

    Vzr sana bruno

    Jibu

    Hongera kwake kwa kufanya poa

    Jibu

    Fenandez mpambanaji Sana man u walilamba Dume kweli.

    Jibu

    Bruno Fernandez ana stahili kabisa kua mchezaj bora wa mwezi june

    Jibu

    Hongera Sana man mnapambana ipasavyo

    Jibu

    Anainogesha sana man united

    Jibu

    Asante kwa taarifa njema Meridianbet

    Jibu

    uchebe kama uchebe huyy

    Jibu

    Kijna Yuko vizuri

    Jibu

    Man U inahitaji wachezaji world class kama huyu Safi Sana naimani ata waajiri walio mnunua wanafurahi#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Hongera sana bruno kwa kuwa mchezaji bora

    Jibu

    Hongera yake hii ni faida ya kujutuma na jitihada

    Jibu

    Hongera sana bruno unastahili

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa man u

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Hii habari mzuri

    Jibu

    Atasumbua San pale England

    Jibu

    Hongera bruno

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.