Giorgio Chiellini amethibitisha kwamba amejiunga na ligi ya Marekani maarufu Major League Soccer (MLS) kwa kusajiliwa na klabu ya LAFC kwa uhamisho wa bure baada ya kumaliza muda wake na Juventus.

Beki huyo wa kati amesaini dili ya miezi 18 na LAFC ambpo ataitumikia klabu hiyo mpka msimu wa 2023.

Chiellini ambaye ana umri wa miaka 37 hakuwahi kuichea timu nyingine yoyote tangu alipoanza kuichezea Juve mwaka 2004.

Chielini alitumia mtandao wa kijamii wa Twitter kuwafahamisha mashabiki wake kwa kuandika “Ukurasa mpya” akiwa amewatagi MLS kupitia video fupi ambayo ilimuonyesha akiwa amevalia shati ya LAFC na kofia.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa