Katika droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa-UEFA, Atalanta wataumana uso kwa na PSG kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Juventus wao wamepangwa na Real Madrid au Manchester City, na Napoli na Bayern Munich.
Droo hii imefanyika Lisbon, ambako mechi za michuano hii pia zitafanyika mwezi Agosti. Hii nin kufuatia mabadiliko yaliyofanyika baada ya Likizo ya Corona, kuwa mechi zote zitachezwa katika uwanja mmoja.
Atalanta, Atletico Madrid, RB Leipzig na Paris Saint-Germain walishafuzu kuingia robo fainali. Baadhi ya vilabu vitatakiwa kumalizana na mzunguko wa timu
Baadhi ya vilabu kutoka nchi moja vitakutana, itategemea na nani atatoboa katika hatua hii.
Droo ya Robo Fainali – Ligi ya Mabingwa Ulaya
Real Madrid/Manchester City v Juventus/Olympique Lyon
RB Leipzig v Atletico Madrid
Napoli/Barcelona v Chelsea/Bayern Munich
Atalanta v PSG
Droo ya Nusu Fainali
Manchester City/Real Madrid/Juventus/Lyon v Barcelona/Napoli/Bayern Munich/Chelsea
RB Leipzig/Atletico Madrid v Atalanta/PSG
Ratiba
Robo Fainali
Agosti 12, 13, 14, 15
Nusu Fainali
Agosti 18, 19
Fainali
Agosti 23


Dee
PSG….wako vzuri
Theckla
Michuano mikali
David Pere
Hizi mechi zitakuwa ngumu sanaa maana kila mmoja anaka ashinde ili asonge mbele maana UEFA inautamu wake
Zuhura omary kindamba
Hizi mechi zitakua ngumu sababu timu zote ziko vizuri
Aziza mushi
Asanten kwa taarifa.
mwakalosi
nasubiri tu city na Madrid
Flomena
Huu mchuano utakuwa wa Moto maana team zote ziko vizur
Leonard
Ligi bora
Omary lukumbi
Mchaka mchaka unaanza tena hyo ukipigwa nje haina home and away
Hamidu
Tulimiss burudani ya soka#meridianbettz
Samira
Imekaa poa sana hii droo
Adelta
Hii michuano iko Vizuri sana
Ngoja tusubiri matokeo
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Dorophina
Hizi mechi zitakuwa ngumu ukiangalia kila mtu anatamani kupanda daraja na wanatofautiana point ndogo sana
caroline
ligi ya mabingwa ulaya imebaki nne bora ..dah tunasubiri tuone nani
Magdalena
Tunaisubiri kwa nguvu zote
mwajuma
Iko poa sana hii droo#Meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Tunaingoja kwa hamu kubwa Sana hiyo robo fainali
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa
isha
Michuano ya kibabe
Zeiyana
Robo fainali ya msimu huu ni moto wa kuakia mbali duuh..!sijui itakuaje
felister
hizi mechi zitakua hatari sababu kila mmoja atataka ashinde
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Franky
Lazima tupige pesa na meridianbet apo kwa cc wakali wakubashili
Povel tz
Kwa fixture hiii ATLETICO Madrid wa wape kombe la LAO
Ernest
Hili kombe haijulikani mwenyewe nani
lombo
gud news mambo ni moto na meridianbet
Rehema
PSG nawakubali
Njiku
Ipo poa hii
Amiri Kayera
Ratb nzur kabx
Samiah
Wako vzr psg
Gabriel
Habar njema
devotha
good newz
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa
Salma
Habari njema
Shafii
Droo imekaa poa.
warda
Imekaa poa sana#Meridianbettz
sabrina
Asante kwa taarifa