Giorgio Chiellini Juu ya Suarez: Pirlo Kishaongea.

Giorgio Chiellini amesema asingependa kuongeza neno katika uvumi unao endelea wa Suarez kutua katika klabu ya Juventus msimu mpya wa Serie A lakini hatoongeza uvumi wa Suarez kutua Juventus.

Juve waliripotiwa wamekuwa kwenye mazungumzo ya kumsaini Suarez aliyewahi kumuuma Chiellin katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014.

Suarez, Edin Dzeko na Moise Kean wote wamekuwa wakihusishwa kusajiliwa na mabingwa hao wa Serie A na kocha mpya wa Juventus Andrfea Pirlo amesema anahaitaji mshambuliaji wa kati haraka iwezekanavyo.

iorgio Chiellini Juu ya Suarez: Pirlo Kishaongea.
 Giorgio Chiellini

Nahodha wa timu hiyo Chiellini amesisistiza maneno yote sasa yanatosha katika mazungumzo kuwa hakuna haja ya kuongeza sababu tayari kuna Ronaldo, Dejan Kulusevski na Paulo Dybala

“Pirlo tayari ameweka kila kitu wazi,” Chiellini aliiambia Sky Sport Italia alipoulizwa kuhusu Suarez.

“Sitaki kuongeza kitu chochote, sina jibu.”

Chiellini Acheza dakika 45 za kwanza dhidi ya Novara

Mlinzi huyo alicheza kipindi cha kwanza Juventus ilipopata ushindi wa 5-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Novara aliandamwa na majeraha katika eneo la goti na maswala mengi ne ya kiafya msimu uliyopita .

“Msimu 2019-20 ulikuwa mgumu sana kwa uppande wangu ,”alisema Chiellini msimu huu unaonekana utakua mzuri, nipo vizuri kiafya na nisaidiana n na wachezaji wenzangu tukiwa uwanjani.

“Kuwa na timu yangu ya ataifa imenisaidia sana.”

Chiellini na Juventus wataanza mbio za kutetea ubingwa wa Scudetto katika msimu huu 2020-21 dhidi ya Sampdoria siku ya Jumapili.

iorgio Chiellini Juu ya Suarez: Pirlo Kishaongea.
Chiellini akilalamika baada ya kung’atwa na Suarez

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 alisema: “Tumeanza na Pirlo huku tukijua msimu mpya utakuwa mgumu kwa sababu hatuja pumzika vyema ukizingatia na mambo ya Lockdown.

“Lakini tupo vizuri na hatutaki kusubiri kuanza msimu mpya tuna muda mrefu mpaka kufikia matoeo ya mwisho lakini tutafanya vyema.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

34 Komentara

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Akisema kasema hairudiw imeisha hiyoo#meridianbettz

    Jibu

    Ngoj tuone hapo picha litaishAje kwn chielin na suarez ni maasimu wawil ila natumian pirlo hatawapanisha na watafAny kaz pamoja Kama wachezaj turin

    Jibu

    Kunyamaza nalo ni jibu

    Jibu

    Itakuwaje Kati chielin na Suarez ngoja tuone itakavyokuwa yetu macho tu

    Jibu

    Ngoja tuone apo picha litaishaje kwan chielin na suarez ni maasimu wawili#Meridianbettz

    Jibu

    Lakino Pirlo maneno ameyatupa!!!

    Jibu

    Ngomaa ndo imeanza watu watazame na kutoa maono

    Jibu

    Kaongea la moyoni

    Jibu

    Kikubwa wamalize ugomvi wao waangalie ya mbele na sio malumbano tena maisha ya mpira ndio yanavyo kua

    Jibu

    Kunyamaza nalo jibu tosha

    Jibu

    Kimya nalo jibu!!

    Jibu

    nasubiri wakati ujibu ndo muafaka utajulikana

    Jibu

    Wapatanishwe tu.ugomvi sio mzuri

    Jibu

    Duuh majanga hayo soka linachangamoto nyingi sana

    Jibu

    Mhhh sizani kama suarez anaweza kwenda juve

    Jibu

    Mmmh hatari kwa kweli

    Jibu

    Wajitahidi kumaliza tofauti zao waendelee na soka kwani mpira ni burudani

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Chiellini amesisistiza maneno yote sasa yanatosha katika mazungumzo kuwa hakuna haja ya kuongeza sababu tayari kuna Ronaldo, Dejan Kulusevski na Paulo Dybala
    “Pirlo tayari ameweka kila kitu wazi,” Chiellini aliiambia Sky Sport Italia alipoulizwa kuhusu Suarez.
    “Sitaki kuongeza kitu chochote

    Jibu

    Mmmmh atalii

    Jibu

    Imeeleweka

    Jibu

    Tusubir kuona

    Jibu

    Ahsant kwa taarifa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Nasubiri kuona itakuwaje

    Jibu

    Duu ana subili majibu yajibiwe Napo sikuzote kukaa kimya kuzuri

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Wakae chini wamalize tofauti zao

    Jibu

    wapatanishwe ugomvi sio mzuri

    Jibu

    Suarez alitrend sana katika kombe la Dunia 2014, ilikuwa kitendo cha kusahngaza katika ulimwengu wa soka, Lakini kwa Suarez tayari tulishazoea mabalaa yake ata lile la kudaka na mwisho wa siku kuwa hero katika timu yake

    Jibu

    Chiellini amesisistiza maneno yote sasa yanatosha katika mazungumzo kuwa hakuna haja ya kuongeza sababu tayari kuna Ronaldo, Dejan Kulusevski na Paulo Dybala
    “Pirlo tayari ameweka kila kitu wazi,” Chiellini aliiambia Sky Sport Italia alipoulizwa kuhusu Suarez.
    “Sitaki kuongeza kitu chochote

    Jibu

Acha ujumbe