Jurgen Klopp alisisitiza kuwa hakuna mpango wowote kwa Liverpool kutawala kwa miaka ijayo, akisisitiza ilikuwa ngumu kufanikiwa England.
Baada ya kuiongoza Liverpool kutwaa taji la Ligi Kuu msimu uliopita, Klopp alichaguliwa kuwa Kocha Bora wa Wanaume FIFA siku ya Alhamisi, na Reds imetoa wachezaji wanne wakiwa sehemu ya FIFA FIFPro Men’s World11.

Baada ya ushindi wa 2-1 wa siku ya Jumatano dhidi ya Tottenham, vijana wa Klopp pia wako na alama tatu juu katika msimamo wa Premier League msimu huu.
Lakini Mjerumani huyo alitupilia mbali mazungumzo yoyote juu ya utawala wa soka nchini Uingereza, akiangazia jinsi ilivyokuwa ngumu kushinda England.
“Sidhani kama mtu yeyote atatawala mpira wa miguu wa Kiingereza – ni ngumu sana, asilimia 100. Ligi ni ngumu sana, ratiba ni ngumu sana,” Klopp aliwaambia waandishi wa habari.
“Sote lazima tuhakikishe tunapata nyakati hizi ngumu kwa sasa na nyakati zingine zote pia. Tulikuwa na wachezaji wanne katika timu bora ya dunia mwaka jana.
Akiwa amefanikiwa kutwaa taji la Premier League msimu uliyopita, Klopp aliiongoza Liverpool kushinda Champions League, Club World Cup na UEFA Super Cup tangu achukue mikoba ya kuinoa timu hiyo mwaka 2015.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Shakila mrope
Asant kwa uchambuzi
Rahma
Nic
Adelta
Hapo mambo yanazidi kuwa magumu
Sarah
Uchambuzi mzuri
Dorophina
Klopp atakiwi kukata tamaa kwani bado mapema anaweza akaongoza tena msimu huu
Issa
Kloop kaza
felister
uchambuzi mzuri
Janeflora malisa
Mambo magum
lombo
sawa
Lydia Emmanuel Magoti
Habari himeereweka
Saupha mohamed
Habari ipo safi
Amiri Kayera
Ni kwer
Caroline
Kazi kweli kweli
Hopemwaikuka
I understand you
warda
kweli maneno ya klopp
Tatu
Habari nzuri
samiah
Safi