Erling Haaland amefunguka kwamba Riyad Mahrez alisaidia katika harakati za Manchester City kuitaka saini ya mshambuliaji huyo wa Norway wakati wa dirisga hili la majira ya kiangazi.

Kumbe Haaland Alishawishiwa na Mahrez Kusaini City

Mahrez alikutana na Haaland wakati wa mapumziko msimu uliyopita huko Mykonos nchini Ugiriki na wawili hao ndipo nwalipoanzisha urafiki wao.

“Ndiyo, aliniambia nije City, kwa hiyo alikuwa sahihi kuhusu hilo., alisema mambo mazuri kuhusu klabu.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 pia alielezea jukumu la babake katika uhamisho huo. “Kwanza kabisa, baba yangu. “Nilizaliwa Uingereza, nimekuwa shabiki wa City maisha yangu yote na najua mengi kuhusu klabu.

Taarifa zilidai kwamba baba wa Haaland alikuwa sehemu kubwa ya kumshawishi mtoto wake kujiunga na Man City lakini kumbe haikuwa Alf-Inge pekee ambaye alifanikisha dili hilo. Baba wa Haaland aliwahi kuichezea City miaka ya 2000 hivyo Haaland alianza kitambo kuvaa jezi ya Wananchi.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa