Klabu ya Manchester United faini na shirikisho la soka nchini Uingereza kutokana na kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu katika michezo yao miwili ya ligi kuu nchini Uingereza.

Klabu hiyo imekumbwa na faini hiyo kutokana na madai yanayowakabili katika michezo miwili ya ligi kuu nchini Uingereza kati ya Chelsea na klabu ya Newcastle michezo yote ikipigwa ndani ya mwezi wa kumi na kumalizika kwa suluhu.manchester uniteduwazuia wachezaji wake wasiwazonge waamuzi katika tukio la kukataliwa goli kwenye mchezo dhidi ya Newcastle huku katika mechi ya Chelsea wachezaji wa klabu hiyo walionekana kumzonga mwamuzi.

Baada ya adhabu hiyo kutolewa klabu ya Manchester United imekiri makosa yaliyoorodheshwa na kuahidi watahakikisha wachezaji wanaweza kujiongoza na kufata kanuni zilizowekwa ili kuepusha sintofahamu na adhabu kama hizo.manchester unitedKlabu yeyote ambayo imekua ikivunja kanuni katika ligi kuu ya Uingereza shirikisho la mpira chini humo Fa hua wanasimamia utaratibu na kutoa adhabu kwa klabu yeyote ambayo hua inakiuka kanuni zilizowekwa.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa