Penati ya Sergio Ramos imeipa Real Madrid pointi nne kileleni mwana msimamo wa La Liga baada ya mechi kali dhidi ya Getafe.
Real walionekana kama kukata tamaa hadi Mathias Olivera alipomfanyia faulo Dani Carvajal, na Ramos kufunga penati yake ya 21 mfululizo.

Getafe – wanaitafuta nafasi ya Champions League msimu ujao – walianza vizuri na Thibaut Courtois kuokoa michomo mitatu ndani ya dakika 12 za mwanzo.
Dabi hiyo ilikuwa ya aina yake dimbani kwasababu jumla wa wachezaji 10 walipata kadi ya njano
Real hawakuwa na nafasi nzuri dhidi ya waoinzani wao, Luka Modric alipiga mpira ukagonga na kwenda nje na Karim Benzema alipiga nje.
Real Madrid wanatakiwa kushinda mechi nne kati ya tano walizobakiza kutwaa ubingwa wapili tangu 2012.


Caroline
Asante Ramos
Genia Sikaluzwe
Ramos hongera
Ester jackson
Pongezi sana real Madrid kwa kazi nzuri sana ingawa bado mnakibarua kikubwa cha mechi NNE zilizo baki kuzikabili na kupata ushindi ili kuwapekeka katika nafasi ya champion ligi
isha
Ramos nakukubali sana
Magdalena
Viva ramos
felister
safi Ramos hongereni real madrid
Dorophina
Ongera kwa Madrid tnx Ramos kwa kupandisha daraja madrid
Lydia Emmanuel Magoti
Ramosi mtu mbaya jembe hilo unastairi pongez kwa penat aliyo ipiga
Zeiyana
Licha ya jitiada wanazo fanya Madrid ili kuwania ubingwa ni pongezi sana kwa haina yake lakini bado kabic wana kibarua kikubwa cha mechi nne zilizo bakia ili kuwapelekea nafasi ya champion ligi
Theckla
Namkubali Sana
Antony Luseno
Madrid kombe la liga lazima alitwae
lombo
Madrid nyota imeng’aa
Hamidu
Ramos beki Bora Sana namkubali muda wote #meridianbettz
Flomena
Beki matata sanaa
Sadick
Ramos anazeeka na utamu wake#meridianbettz
Khadija
Ramos namkubali sana#meridianbettz
farida ahmadi
Safi ramos Mambo mazuri hayoo kwetu mashabiki
Mariam mtandama
Beki mzur
Issa
Ramos ni beki mzuri na anaejua majukumu yake na kikubwa anauwezo wa kufunga pia na kashaipa matokeo sana madrid
Johnmary joel
Pongezi nyingi Kwake Ramos kuipeleka timu mbele#meridiabett
Sylvester
@Real Madrid nina uhakika ndio mabingwa wa sasa wa Spain kwani wanmuendelezo mzuri wa ushindi toka warudi mapumziko ya Covid 19
Gabriel
Tukisema tuanze kumzungumzia Ramos tunarmtambua n beki mzuri sana na safari yake alitokea katika akademi ya Sevilla na mwaka 2005 alihamia Real Madrid na akawa mchezaji muhimu na mpaka sasa ameshinda mataji ya UEFA mara tatu na La Liga mara nne na akawa mfungaji bora anayecheza nafasi ya ulinzi.
Na kwa timu ya taifa Ramos ameisaidia timu yake kwenye kombe la dunia mara tatu wakawa washindi mwaka 2010 na UEFA Euro kushinda miaka ya 2008 na 2012.Ramos alianza kuonesha uwezo wake akiwa na miaka 18,na akawa mchezaji bora wa timu ya taifa mwenye umri mdogo mwenye mafanikio makubwa.
Ramos anajulikana kama beki bora kwa wakati wake,alikuwa beki bora wa La Liga na alishinda kikosi bora cha UEFA.
Had sasa tunarmtambua Kama beki kisiki kutoka club ya Madrid yuko vzur sana
Njiku
Hii ipo poa kwa real madrid na imekaa vibaya kwa mashabiki wa barca maana hao wote wanagombania taji hilo la laliga
Shafii
Kwenye timu yeyote hii ndo faida ya kua na mchezaji mzoefu na mkongwe Kama Ramos unapohitaji matokeo au point tatu muhimu ni rahisi Sana kuzipata
warda
Ramos mnyama kutoka Beki hadi Golini ni hatari#Meridianbettz
nasra
Hongera sana Ramos
Hope mwaikuka
Hongera Ramos kwa kuokoa jahaz
fatumakasom
Madrid ndio mabingwa
Furahav
Real bingwa msimu huu.
Samiah
Msimu huu Real bingwa
Rehema
Hongera sn romas
Tahiya
Ramos mwamba
Winfrida
Amefanya kazi nzuri
Isaya massawe
Na ubingwa anachukua kabisa Madrid
Salma
Ramos jeshii
Saupha mohamed
Kafanya vizuri
Omary lukumbi
Safi sana ramos ndio mpigaj penat wao kwa sasa inaonekana zidane ndio amekua chaguo lake kwa sabab ndio mchezaj anayo.ijua vzr real Madrid anacheza kwa jihadi sana
David Pere
Jamaa japo umri umeenda lakini anaipa timu take ushindi muhimu sanaa
Latifa juma mohamed
Ramos jembe
tumaini
Maoni:hongera sana Ramos
Amani
Ramos anazeeka na utamu wake pia na mkubali Sana nibeki anaye jitambua#meridianbettz
Tatu
Namkubali sana
Povel
Habar njema
Devotha
Hongera sana Ramos
Amiri Kayera
Real Kwa sasa awaitaj kupotez point ata moja ilikuchukua hili kombe
Sabrina
Maoni:Hongera Ramos
Angelina
Safi ramos
Adelta
Romas namukubali sana