Smith Ajivunia Ushindi wa 4 Mfululizo.

Dean Smith amejivunia ushindi wa kihostiria katika klabu ya Aston Villa baada ya kupata ushindi wa nne mfululizo katika Premier League msimu huu.

Villa iliifunga timu ya Leaicester City 1-0 dakika za majeruhi na shukrani za kipekee zimemuendea Ross Barkley Villa wamepata ushindi michezo minne siku ya Jumapili

Villa ya Dean Smith ambao waliponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliyopita wamefanikiwa kushinda michezo minne ya ufunguzi katika ligi kwa mara ya kwanza tangu 1930-31.

Smith Ajivunia Ushindi wa 4 Mfululizo.
Wachezaji wa Aston Villa wakipongezana baada ya kupata goli.

“Niliongea na wachezaji tulipokuwa tunauanza msimu kwamba tujaribu kutengeneza historia,” Meneja wa Aston Villa Smith alisema ikiwa timu yake sasa ipo nafasi ya pili kwenye msimamo nyuma ya Everton.

“Tumefanikisha katika msimu wangu wa kwanza tulishinda michezo 10 na tulisalia msimu uliyopita, ni muhimu sana na tutaendelea na kasi tuliyoanza nayo.

Kwa mujibu wa Opta, Barkley amefunga katika michezo miwili aliyoichezea Villa katika Premier League mechi ya kwanza aliweka moja na mechi ya jana aliweka jingine.

Villa na miamba ya Serie A, AC Milan ndiyo timu pekee za ligi kubwa tano Ulaya ambazo hazijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu mpya.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaid

26 Komentara

    Hongera zake

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi kwake Smith

    Jibu

    smith kijana mdogo lakini anawika kama jogoo

    Jibu

    Hongera kwa klabu ya Aston villa

    Jibu

    kwa matokea waliyokua nayo aston vila hanastaili pongezi yingi sana smith kwa kazi kubwa aliyo hiifanya

    Jibu

    Pongezi zako smith

    Jibu

    Aston villa mambo ni moto ngoj tuone Mbio hzo ni kwl au baiskeli ya miti

    Jibu

    Anasitahili pongezi kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kajitahd

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi kwake Smith

    Jibu

    Smith yupo vizur hongera yake

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Goodnewz

    Jibu

    Hongera smith

    Jibu

    Baada ya kutoka samatta ndo ushindi hivi jamani

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Aston villa wamekuwa watamu msimu huu

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Safi sana Smith

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.