Viwanja Bora Duniani: Fahamu Nafasi ya Viwanja Maarufu!

Ulishawahi kuijua orodha hii ya viwanja bora duniani. Unaweza kuwa ulivifahamu baadhi, lakini haukufahamu nafasi zake. Hii hapa orodha ya viwanja 10 bora zaidi duniani!

10.  Azadi Stadium – Iran

The Azad Stadium
Azadi Stadium

Hili ni dimba linalokamata nafasi ya kumi duniani kwa ukubwa. Unapatikana mjini Tehran -Iran na ulifunguliwa mwaka 1971, unatumiwa na vilabu vya Persepolis Tehran FC, Esteghlal Tehran FC. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 78,116, na una sehemu kubwa zaidi yenye majengo ya huduma mbali mbali na nyumba.

9. San Siro – Italia

San Siro
San Siro

Huu ni uwanja mzuri unaopatikana Milan, Italia. Uwanja huu unaweza kufurahiwa na kila mtazamaji katika kila kona ya uwanja. Una uwezo wa kubeba watazamaji 80,000. Ndiyo uwanja uliotumiwa kwenye fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya 2020.

8. Anfield – Uingereza

Anfield
Anfield

Huu ni uwanja wa nyumbani wa Liverpool! Hauwezi kuuacha uwanja huu ukizungumzia viwanja bora duniani, japokuwa uwanja huu si mkubwa sana kwa kigezo cha idadi ya watu inayoweza kuwachukua ambayo ni 54,074, Unafahamika na kukubalika zidi kwa hali yake na mazingira ya uwanja na hadhi uliyojijengea ulaya.

7. Santiago Bernabeu – Hispania

Santiago Bernabeu
Santiago Bernabeu

Ukizungumzia viwanja bora duniani hauwezi kuuacha huu, ni uwanja wa Real Madrid unaopatikana Hispania. Ni uwanja wenye historia ya kutumiwa na wachezaji wenye majina makubwa ambao wanauenzi kila uchwao. Christiano Ronaldo anautaja uwanja huu kama ‘nyumbani’!

6. Soccer City – South Africa

Soccer City Viwanja Bora
Soccer City

Uwanja huu mwanzo ulifahamika kama First National Bank Stadium, unapatikana jijini Johannesburg. Ulijingwa mwaka 2010 na una uwezo wa kubeba watu 90,000.

5. Azteca – Mexico

Azteca Stadiums -Viwanja Bora
Azteca Stadiums

Ni uwanja ambao umekuwa maarufu zaidi kwa uwezo wake wa kubeba watazamaji wengi. Una uwezo wa kubeba watazamaji 100,000 na una heshima kubwa nchini Mexico. Heshima yake na uwezo wake unaupa nafasi uwanja huu kuingia kwenye orodha ya viwanja bora duniani.

4. Camp Nou – Hispania

Camp Nou Viwanja Bora Duniani
Camp Nou

Huu ndo uwanja mkubwa zaidi Hispania. Ni uwanja wa nyumbani wa Barcelona. Ni mmoja ya uwanja wenye heshima kubwa kwenye historia ya soka, Lionel Messi ni moja ya mastaa waliotumia uwanja huu kwa mda mrefu zaidi.

3. Old Trafford – Uingereza

Old Trafford Viwanha Bora Duniani
Old Trafford

Ni uwanja maarufu unaotumiwa na Manchester United kama uwanja wao wa nyumbani, moja ya klabu tajiri zaidi duniani. Unafahamika kwa jina jingine la “Theatre of Dreams” Uwanja huu upo nafasi ya 3 duniani.

2. The Allianz Arena – Ujerumani

Viwanja Bora Duniani
Allianz Arena

Uwanja wa mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich unaingia katika nafasi ya juu ya viwanja bora duniani! Una uwezo wa kuchukua watazamaji 70,000. Ni uwanja unaovutia sana nyakati za usiku ukipambwa na rangi nzuri, umeibuka kuwa uwanja wa pili kwa ubora duniani.

1. Wembley Football Stadium – Uingereza

Wembley Footbal -Viwanja Bora Duniani
Wembley Footbal

Uwanja huu ulifunguliwa tena mwaka 2007 ukiwa umeboreshwa zaidi ya uwanja wa awali uliokuwepo eneo hilo hilo. Una uwezo wa kuchukua mashabiki 82,000 na hivyo unakuwa mmoja kati ya viwanja bora duniani vya soka.

Unaweza kuwa ulivifahamu baadhi ya viwanja hapa na sasa unafahamu nafasi zake katika ubora kwa dunia nzima!

 



MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

43 Komentara

    Sikujua hilo hatari waingereza wametisha

    Jibu

    Kweli ni viwanja vyenye ubora Sana duniani lakini Cha kushangaza hiki Cha kwetu hakipo kabisaaa

    Jibu

    Nimeamini kweli ni viwanja bora duniani

    Jibu

    Waingereza wapo vizuri.

    Jibu

    azteca Mexico ni kiboko unastahili number moja

    Jibu

    England wametishana kiwanja chako ndio namba moja

    Jibu

    Kweli wenzetu wamewekeza kwenye viwanja

    Jibu

    Duu wenzetu wamepiga hatua sana wamewekeza sana pesa nyingi kwenye mpira

    Jibu

    Asante kwa update za michezo

    Jibu

    Waingereza wapo vizuri sana

    Jibu

    Waingereza wako vizuri sana

    Jibu

    Wenzetu wamepiga hatua wamewekeza pesa nyingi kwenye mpira

    Jibu

    Arena ni uwanja mzuri kuliko yote wenzetu wameweka nguvu kubwa kwenye soka

    Jibu

    mi napenda uwanja wa sansiro italia .ni mzuri sana

    Jibu

    Waingereza wapo vizuri

    Jibu

    Waingereza wamejitahidi Sana wanavunja rekodi

    Jibu

    Waingereza wamejitaidi kuwa naviwaja vizuri kuliko wote

    Jibu

    Waingereza siku zote hawakoseagi wako vizuri

    Jibu

    Tanzania soon tunavunja rekodi

    Jibu

    Waingereza wapo vizuri

    Jibu

    Tff mpo wapi tufanye kama nchi za wezetu

    Jibu

    Waingereza wapo vizuri

    Jibu

    ahsante kwa taarifa nilikua sijalitambua hilo

    Jibu

    Wenzetu wanaimani kwenye mpira ndio maana wanawekeza sana

    Jibu

    Wapo vizur sana

    Jibu

    Viwanja vyao ni vina kiwango kuliko vyakwetu .

    Jibu

    Camp Nou looking nice

    Jibu

    Gud information

    Jibu

    wako vzr

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Nawakubali sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Simchezo waingereza

    Jibu

    Ni noma Wembley inatisha

    Jibu

    asante kwa update

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Duh! Ulaya ulaya tu viwanja vkal

    Jibu

    Nilidhani viwanja vilivyojengwa hivi karibuni kama Emirate ya Arsenal vitakuwa moja ya viwanja bora kwenye top 10#meridianbettz

    Jibu

    Mmetishaa sana

    Jibu

    Waingereza wapo vizuri

    Jibu

    Camp nou iko vizuri.

    Jibu

    Safi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Safi sana hii

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.