Ujerumani, ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga, kunauwezekano wa michezo yote iliyobaki ikachezwa pasipo mashabiki, kutokana na kirusi kipya cha korona kuzuku na serikali ya Ujerumani ikijitahidi kupambana na wimbi la nne la kirusi hicho.
Viongozi wa serikali wakiwemo Chancellor Angela Merkel, ambaye anamaliza muda wake na Chancellor Olaf Scholz, ambaye ndiye kiongozi mpya wamekuatana leo kujadili njia watatazozitumia ili kuweza kupambana na kirusi hicho kipya, huku siku ya alhamisi ndiyo inatarajiwa kuwa ndio siku ya kutoa maamuzi kuhusu michezo nchini humo.

Pia baadhi ya majimbo yameanza kutekeleza kucheza pasipo mashabiki, katika jimbo la kusini limepitisha kuwa mechi zote kwa sasa zitachezwa pasipo mashabiki.
Ikiwa itapitishwa nchi nzima, basi vilabu vikubwa vinavyoshiriki ligi za Ulaya, kama ligi ya mabingwa na ile ya Europa vitaathiliwa sana kucheza pasipo mashabiki, Bayern tarehe 8 disemba anamkaribisha Barcelona, kama katazo la kutoingia mashabiki liatapitishwa basi Bayern atakosa mchezaji wa 12.
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.


