Ryan Garcia Anamtaka Kambosos Pambano Lijalo

Ryan Garcia alijitokeza Jumamosi iliyopita usiku kwenye mitandao ya kijamii akisema anataka kurejea ulingoni na anamtka George Kambosos Jr baada ya kumtazama akimchapa Teofimo Lopez.

Ryan Garcia Anamtaka Kambosos Pambano Lijalo

Baada ya kuwakatisha tamaa mashabiki mwaka mzima, Ryan (21-0, 18 KOs) alisema kwa ujasiri kwamba atapambana na bingwa asiyepingika wa uzani wa lightweight Kambosos kurejea ulingoni. Ryan anafikiria nini?

“Pambano langu la kurudi, nitapigana na Kambosos’ Ryan Garcia alisema kwenye Twitter.

Sean Jones ana shaka kuwa wakati huu itamfaa Ryan. Nadhani Ryan hatimaye amepata bingwa ambaye hatakubali kumpa ushindi kirahisi, hasa baada ya kushuhudia upiganaji wake mbaya abanapokuwa ulingoni.

Kambosos (20-0, KO 10) aliweka wazi hilo siku ya Jumamosi iliyopita usiku baada ya kumchapa Teofimo kwa kusema kwamba anataka kupigana na bondia aliye bora zaidi.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.