Adama Traore ametolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania kuelekea mchezo dhidi ya Ukraine katika michuano ya Nations League baada ya kupimwa na kukutwa ana maambukizi ya virusi vya Corona.
Mwanzoni Traore aliachwa kwenye mchezo ambao Spain ilipata sare ya 1-1 dhidi ya Ujerumani jijini Stuttgart siku ya Alhamisi baada ya kuhitimisha vipimo vya COVID-19.
Nyota huyo wa klabu ya Wolves alifanyiwa vipimo vya PCR siku ya Ijumaa, bado anasubiri kucheza mchezo wake wa kwanza na timu ya taifa, hatocheza mchezo wa Jumapili Spain watakapo watembelea Ukraine.

Kutokana na taratibu za UEFA, Traore hatoruhusiwa kwenda uwanjani kama matokeo kwa ujumla hayatakuwa Negative.
Hispania itawakaribisha Ukraine katika dimba la Estadio Alfredo Di Stefano katika mashindano hayo.
Ukraine anaongoza katika msimamo wa kundi league A Group 4 baada ya kuifunga Switzerland kwa 2-1 mchezo waliokutana.
Wolves wamekamilisha usajili wa kinda Fabio Silva kutoka klabu ya FC Porto na watakabiliana na Sheffield United kwa mchezo wa ufunguzi katika Premier League Septemba 14.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Shafii
Duh corona inaleta tahamaki kubwa Sana kwa wana michezo soon as possible atakua fit mungu amjalie.
felister
duh corona ebu tuache kidogo jamani
Mwanahamisi
Duuh colona kiboko
Dorophina
Bad news pole adama
rama
duuu kwann tena
Sadick
Adama Traore ameisaidia sana Wolves msimu uliopita bila shaka atafanya makubwa msimu unaofuata#meridianbettz
Zeiyana
Bado kuna ali ngumu na huu ugonjwa wa korona
Caroline
Corona inavuruga Mambo jamani.mungu atunusuru
Sauda
Corona hatari sana
Mwajumah
Daah pole yake jmn ila corona hii inavuruga Kila kitu na kuharibu mipango yote#Meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Nini tena kime msibu Adams Traore kuondolewa Spain
Adelta
Coronavirus sio poa kabisa@meridianbettz
Hidaya
Corona bado ipo tahadhari muhimu
Neema
Corona hatareee
Ernest
Pigo kwa Spain na Wolves hapa, Corona janga hatari sana
Gabriel
Sad news pole adama
Fatina mfingi
Corona noma!
Tatu
Corona imeleta balaa
Hope mwaikuka
Hebu corona iishe sasa huko ulaya
Antony Luseno
Mungu amjalie apone haraka
Saupha mohamed
Corona atali
Amiri Kayera
Duh Corona bado ipo
jullie
pole sana
Issa
Pengo kwa spain
aisha
Pole sana adama kwa kuuguwa ugonjwa wa covid 19 mungu atakujaliia utapona
Rehema
Aiseee Corona kiboko
Sabrina
Corona sio poa
Amani
Corona bado imekuwa janga linalo itesa dunia
Khadija
Mh!!corona jamani#meridianbettz
Povel
Duh majanga covid-19 janga la dunia
Rose kapinga
Corona kwani unaondoka lini? Ushakua tatizo sasa!!!
Aziza mushi
Duh corona hatari Sana.
Ester jackson
Duh corona inaleta tahamaki kubwa Sana kwa wana
Theckla
Mwenyezi Mungu Amjalie apone na aweze kurejea katika majukum yake ya Kila siku
Fatuma kasomo
Pole utapona
warda
Corona hii jamani#Meridianbettz
marry
hatare
magdalena
huu ugonjwa wa covid-19 unazidi kuharibu vitu vingi sana
Elika
Mwenyezi Mungu atujalie hili gonjwa lipite..maana limeshakuwa la vitisho duniani
Christa
Aiseee, Mungu atuondolee hili janga
Furahav
Majanga
Flomena
Good news
Janeflora malisa
Janga kubwa sana jmn
Latifa juma mohamed
pole sana
Nasra
Corona hatari
Samiah
Hatr Corona
David Pere
Duh corona inaleta tahamaki kubwa Sana kwa wana michezo soon as possible atakua fit mungu amjalie.