Nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubeligiji Kevin De Bruyne ameungana na wachezaji wenzake katika kikosi cha Belgium kuelekea mchezo dhidi ya Iceland siku ya Jumanne katika michuano ya Nations League.
De Bruyne hakuwepo katika kikosi cha Red Devils kwa mchezo wa ufunguzi kwenye Nations League katika kundi A2 ambapo Ubeligiji ilishinda kwa 2-0 dhidi ya Denmark.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alipata ruhusa ya kwenda kujumuika na mke wake ambaye amejifungua mtoto wao wa tatu.
Lakini, kocha Roberto Martinez atakuwa na kiungo huyo mchezeshaji pale Ubeligiji itakapo wakabili Iceland mjini Brussels.

Wakati huo huo Michy Batshuayi amejiunga na timu baada ya kukamilisha siku 14 za kujitenga baada ya kuhisiwa huenda aliingiliana na watu wenye maambukizi ya virusi vya Corona.
Ni mchezaji mmoja wa Belgium hatokuwepo kwenye timu kwa mchezo wa Jumanne mchezaji huyo ni Yannick Carrasco.
De Bruyne pia yupo katika kinyang’anyiro cha tuzo ya PFA ya ligi kuu nchini Uingereza msimu 2019-20 akichuana na mastaa kama Sadio Mane,Raheem Sterling,Van Djik,Trent Alexander- Anold na Jordan Hernderson.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Caroline
Belgium mmepata jembe..De Bruyne yupo vizuri
rama
safiii kabisa
Mwajumah
De bruyne yupo vizur sana mmelipata jembe ilo berlgium#Meridianbettz
Sauda
Karibu sana Belgium
Lydia Emmanuel Magoti
De Bruyne yupo vizuri jamaha huyo
Mwanahamisi
Wel come belgium
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa taarifa@meridianbettz
Hidaya
Jembe hilo
Neema
Karibu sana kijana
felister
karibu belgium
Hope mwaikuka
Namuelewa kinyama De Bruyne
Gabriel
De Bruyne yuko vzur bado japo alikumbana na majeraha lakn naamin yuko vzur
Ernest
Nawaona Beligium kama mabingwa wa European UEFA Nations League
Dorophina
Belgium wamepata mchezaji mzuri
Fatina mfigi
Karibu sna
Tatu
Belgium wamepata jembe
Antony Luseno
Bruyne ni miongoni mwa viungo mahiri katika karne hii
Sadick
Ubelgiji imebarikiwa na kikosi kipana chenye wachezaji wenye vipaji nadhani inaweza kushinda fainali za Ulaya msimu huu#meridianbettz
Zeiyana
De bruyne yupo vizuri sana ni mchezaji hanaye jituma akiwa uwanjani
Saupha mohamed
Karibu sana
Amiri Kayera
Ni mchezaj mzur kweny team
jullie
pongezi kwake
Issa
Kiungo bora sana
aisha
Karibu sana belgium
Rehema
Ni kiungo bora
Sabrina
De bruyne fundi
Amani
Fundi Sana Kevin
Khadija
Fundi sana kijana#meridianbettz
Povel
Kuna kitu mechi ya kwnz tulikimic kukosekana KV
Rose kapinga
Kipaji unacho kaka,nenda kakiwashe ubelgiji!!!
Ester jackson
Habari njema
Aziza mushi
Habari njema sana.
Theckla
De bruyne ni mchezaji mzuri na anajua majukum yake awapo uwanjani
Fatuma kasomo
Jeshi hilo
warda
De Bruyne yuko vizuri sana#Meridianbettz
marry
all the best
magdalena
kila la kheri kwake akaoneshe juhudi zake ili aipatie ushindi timu
Elika
Jembe hilo kijana yuko vizur
Tahiya
Belgium wana kikosi kizur sana
Saupha mohamed
Jambo zuri
Furahav
Brune jeshiiii.
Flomena
Wakati huo huo Michy Batshuayi amejiunga na timu baada ya kukamilisha siku 14 za kujitenga baada ya kuhisiwa huenda aliingiliana na watu wenye maambukizi ya virusi vya Corona.
Shani
Kdb ni kiungo muhim San uwepo wake Belgium unafanya hazard na lukaku kufumania sana wavu
Shafii
Habari njema.
Janeflora malisa
Nice
Latifa juma mohamed
Vizuri kabisa.
Nasra
Gud
Samiah
Nice
David Pere
De Bruyne yuko vzur bado japo alikumbana na majeraha