Mbappe: Napata Maumivu Kidogo, Nitakuwa Fit.

Kylian Mbappe anapitia maumivu katika kifundo cha mguu wake wa Kulia baada ya mchezo dhidi ya Sweeden na Ufaransa kuibuka na ushindi wa 1-0 siku ya Jumamosi lakini mshambuliaji huyo anaamini kama ni jeraha dogo.

Mbappe alifunga goli katika mchezo huo shuti pekee lililopigwa kwa upande wa Ufaransa,na mchezaji huyo wa Paris Saint-Germain alitolewa dakika ya 77 ya mchezo baada ya kuchezewa madhambi kwenye mguu wake.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amekuwa akisumbuliwa na jeraha katika kifundo chake cha mguu baada ya kuumia katika fainali ya Coupe de France, PSG walipokabiliana na Saint-Etienne mwezi Julai 24 na aliweza kupona na kushiriki katika fainali ya Champions League walipokutana na Bayern Munich.

France watakuatana na Croatia jijini Paris siku ya Jumanne na Mbappe amejiamini kwamba atakuwa fit kuukabili mchezo huo.

“Inauma kidogo. Niliangushwa, lakini nitakuwa vizuri na bora,” Mbappe aliiambia M6.

“Tutajiandaa vizuri ili tuweze kuwa bora zaidi dhidi ya Croatia. Tunaenda Kufanyia kazi mapungufu yote, ni kocha ndiyo atakaye amua kama nitacheza au kutocheza.

Mfumo wa 3-4-3 aliyo utumia Didier Deschamps haukuvutia sana kwa upande wa Timu ya Ufaransa, safu ya ushambuliaji ilikuwa na Mbappe, Olivier Giroud na Antoine Griezmann licha ya kuwa na washambuliaji wazuri lakini walipata ushindi mwembamba wa 1-0.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

44 Komentara

    Asante kwa makala

    Jibu

    Ajal kazini!!

    Jibu

    Mbappe mchezaj muhim ufaransa kukosekan ni pengo

    Jibu

    Duuh pole sana Mbappe jeshii langu hiloo

    Jibu

    Majeraha yanamuandama mbappe

    Jibu

    Pole Sana mbappe

    Jibu

    Mbappe namkubali sana ni mchezaji mzuri sana ambaye kwa ujumla timu wanamtegemea ila tatizo ni kwamba hakupona vizuri jeraha lake mana aliforce kucheza mechi cha ubigwa ila hakuwa fiti ila kama watamuacha akave majeraha yake nafikiri atakuwa powa zaidi kuliko hivyo Mara anacheza baada ya hapo anaumwa hiyo nikutokana kuwa bado jeraha halijapona

    Jibu

    Ucjal utakua sawa tu

    Jibu

    Mbappe ni mchezaji mzuri Nina Imani atakaa sawa nakuitumikia timu yake

    Jibu

    Mbappe amakuwah akiandamwa na majerah hv karibu kuanzia ndani club na national timu hvy na was was na majerah hayo kwn yanawez kumpelekeah kukaa nje muda mrefu kuliko yy anavyotuma matumain mashabik wake

    Jibu

    Mchezeji mzuri sana usijali utakaa sawa

    Jibu

    Mashabiki tunakupa pole Sana mbappe usijali mwenyezi mungu akuponye urudi wew Ni kiungo mahiri sana@meridianbettz

    Jibu

    Mbappe namkubali sana#Meridianbettz

    Jibu

    pole

    Jibu

    Ukiangalia histor yake mbappe hana ndoto kubwa ili kufikia malengo hanatakiwa hawe makini siku zote majeraha ndio yanayo mfanya mchezaji kiwango chake kipungue so hasipo angalia hilo hinaweza ndoto zake zikagonga mwamba

    Jibu

    pole sana mbappe utakuwa sana izo ni changamoto ndogo tu

    Jibu

    Mungu atakuinua tena utapona utaludi kama zamani mbappe

    Jibu

    Mbappe atapona na atakaa sawa

    Jibu

    Pole jembe la mashambulizi utaludi kwenye Hali yako mbappe

    Jibu

    Get well soon Mbape

    Jibu

    Pole sana mbappe kwani ajali kazini#Meridianbettz

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Pole sana mbappe utakaa sawa

    Jibu

    Usijal utapona

    Jibu

    Ni matarajio ya wadau wengi adi ligi itakapoaanza utakuwa sawa

    Jibu

    Pole sana utakua fureshi tuu

    Jibu

    Mbappe anahitaji muda wa kujiangalia afya yake, hajapona sawa sawa kiasi cha kucheza#meridianbettz

    Jibu

    Mbappe angepumzika kwanza ili auguze vizuri.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    ata kaa sawa tu mbappe

    Jibu

    Pole yake#meridianbettz

    Jibu

    Mara nyingi majeruhi yamekuwa yakiwapoteza wachezaji wazuri kwenye ramani ya soka, Mbappe anatakiwa kuhakikisha anapona kabisa majeraha yake bila hivyo atakuwa pancha kila siku

    Jibu

    Mbape atalokava ila ni pengo kubwa sana

    Jibu

    utapona

    Jibu

    Majeruhi ya Mara kwa Mara ndio kikwazo kwake.

    Jibu

    pole sana Mbappe

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Pole sana kijan

    Jibu

    Sasa itakuwaje mbappe Ni mchezaji mzuri sana akikosekana sijui itakuwaje

    Jibu

    Pole Sana jembe ,Hilo jeshi la mtu mmoja mbappe unapitia magumu kwa majerah natumai utakuwa ok soon.

    Jibu

    Pole utakuwa sawa

    Jibu

    Pole sanaa kjn

    Jibu

    Mbappe namkubali sana ni mchezaji mzuri sana ambaye kwa ujumla timu wanamtegemea ila tatizo ni kwamba hakupona vizuri jeraha lake mana aliforce kucheza mechi cha ubigwa ila hakuwa fiti ila kama watamuacha akave majeraha yake nafikiri atakuwa powa zaidi kuliko hivyo Mara anacheza baada ya hapo anaumwa hiyo nikutokana kuwa bado jeraha halijapona

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.