henderson - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Kocha wa Tottenham Hotspur Jose Mourinho anataka kumsajili winga anayekipiga Porto, raia wa Colombia Luis Diaz, 23. Inter Miami, inayomilikiwa na nahodha wa zamani wa England David Beckham, …

Kasper Schmeichel: Namuhurumia De Gea

Daily News

Kumekuwa na maneno mengi ya lawama yanayoelekezwa kwa kipa wa Manchester United – David De Gea. Japokuwa kocha Ole Gunnar Solskjaer amekuwa akimtetea mara kadhaa, waandishi wa habari na wachambuzi wa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Aston Villa raia wa Tanzania Mbwana Samatta, 27, huenda akaelekea Fenerbahce baada ya kushindwa kuiridhisha Villa Park tangu alipojiuga nao Januari. Chelsea imejitayarisha kutoa ofa kwa …

Ole Gunnar Amkingia Kifua De Gea

Daily News

Meneja wa Manchester United amamkingia kifua golikipa David de Gea na kusema kuwa ndiye golikipa wake ndiye bora zaidi duniani. Meneja amemtaja golikipwa wake, De Gea kuwa ndiye golikipa bora …

Tetesi za Usajili

Bundesliga

Mshambuliaj Wolves, Raul Jimenez, 28, amesema itakuwa ngumu kukataa ofa kutoka kwenye vilabu vya Hispania Real Madrid and Barcelona. Golikipa wa Manchester United, Dean Henderson, 23, ambaye ametumikia kwa mkopo msimu 2019.20 …

EPL; Wachezaji Wakubali Kuchangia NHS.

Daily News

Wachezaji wa Ligi Kuu ya Uingereza wameanzisha changizo kwaajili ya NHS inayoitwa #PlayersTogether kwaajili ya kupambana na virusi vya Corona. Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson, Tottenham na Uingereza Harry Kane …

Pacha za Viungo Bora Uingereza

Champions League

Ili mpira wa soka uweze kukubalika miongoni mwa wanamichezo na wapenda soka lazima kuwepo na watu wanaowashawishi kuwatazama pindi wakiwa uwanjani. Kutoama na hilo wanachangia wao kuweza kulioenda soka hilo. …

Tetesi za Usajili Barani Ulaya

Champions League

Klabu ya Cardiff City imepata onyo zito kutoka FIFA kwamba wanatakiwa kuwalipa Nantes ada ya uhamisho wa Emiliano Sala ambayo kiwango cha £5.3m endapo klabu hiyo itashindwa kulipa pesa hiyo …

EPL: Kuelekea Liverpool vs Norwich City

Football

Msimu huu wapa! Wazee wa mikeka wameshaandaa kalamu na karatasi kwa ajili ya kuandika hesabu za pesa zao, tunaanzia hapa; Liverpool V Norwich City. Liverpool wanatarajia kufanya vyema zaidi ya …

Ligi Kuu Uingereza 2019/20

Champions League

Msimu mpya wa ligi ya Uingereza ambayo ni ligi pendwa na inayofuatiliwa na wengi duniani kote utaanza kutimua vumbi mapema mwezi wa nane tarehe 9 lakini jicho la kila shabiki …

Kwanini Washinde Euro 2020?

Daily News

Baada ya kuanza vyema katika kampeni yao ya kufuzu kuelekea kwenye michuano ya Euro 2020 kwa kushinda mechi zao mbili; vijana wa Southgate wanapigiwa chapuo kuipeperusha bendera ya taifa la …

1 2 3 7 8 9 10 11