Aston Villa vs Sheffield United, Taarifa na Vikosi

Ligi Kuu Uingereza inarejea baada ya takribani siku 100! Watu wame “miss” kuona maajabu ya uwanjani. Kuona radha halisi na uhondo soka. Hapa nakumegea kipande kidogo cha taarifa ya mechi ya Aston Villa vs Sheffield United.

Vila wanaenda kwenye gemu hii wakiwa na matumaini ya kujikongoja kupiga hatua mbali na hatari ya kushuka daraja. Wakati huo Shieffield wao wanapambana kuiwinda nafasi katika Ligi ya Mabingwa.

Klabu hizi mbili zimekuwa na bahati tofauti msimu huu, hii inafanya iwe rahisi kusahau kama jamaa hawa walikuwa pamoja kwenye michuano ya Championship msimu uliopita tu.

Aston Villa wapo nafasi ya 19 kwenye msimamo wa Ligi, wakiwa kwenye hatari ya kupoteza nafasi yao ya Kuwepo EPL msimu ujao. Shieffield United wao wamekuwa na nyota njema baada ya kujitahidi kufanya vyema wakiwa nafasi ya 7 kwenye msimamo wa Ligi kwa sasa.

Klabu zote zinakumbana na hali mpya, ya kucheza bila mashabiki. Aston Villa wanatajwa kuwa wanaweza kunufaika kiasi na uenyeji. Villa watakuwa wanasaka kujikongoja hadi nafasi ya 16, ikiwa watashinda mechi hii.

Aston Villa vs Sheffield United

Aston Villa Mechi 6 za Premier League Zilizopita : DWLLLL
Aston Villa Mechi 6 za Michuano Yote Zilizopita : WLLLLL

Sheffield United Mechi 6 za Premier League Zilizopita : DLWWDW
Sheffield United Mechi 6 za Michuano Yote Zilizopita   :  WWWDWW

W – Alizoshinda     L – Alizopoteza     D – Alizotoa Sare

Vikosi Vinavyotarajiwa

Aston Villa: Reina; Guilbert, Engels, Mings, Targett; McGinn, Hourihane, Douglas Luiz; Al Ghazi, Samatta, Grealish

Sheffield United: Henderson; Basham, Egan, O’Connell; Baldock, Lundstram, Norwood, Fleck, Stevens; Mousset, McBurnie


Ingia Hapa kubashiri mechi hii BET

Bashiri matokeo kuwa Aston Villa 0-2 unapata Odds ya 10.5

 

39 Komentara

    Habar njema kwa wazee wa jamvi na wapenda burudani ya soka

    Jibu

    nimemisi kumuona mtanzania mwenzagu akipata goli samagoal77

    Jibu

    Aaah jaman msituangushe Aston Villa mbwana samata unawaangusha watu wa mbagala

    Jibu

    Nice update 👍 team samatta

    Jibu

    Habari nzuri kwa wapenda burudani kwa sisi wateja

    Jibu

    Vipi vizuri sanaa na vinaonyesha hii mechi utakuwa na uponzani sanaa

    Jibu

    Habari nzuri Sana kwetu sisi mashabiki

    Jibu

    Hii ni habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

    Sisi wazee wa majamvi tumekosa pesa kwa mda mrefu Sasa ni zamu ya kubeba mkwanja na ligi yetu pendwa EPL

    Jibu

    Big up chama langu

    Jibu

    Aston villa najua game yao hii..hivyo basi nawatakia kila lakher

    Jibu

    Vizuri sanaaa chama langu

    Jibu

    Kwa sisi washabiki wa samatta tunasubiria kuona mtanange mkali

    Jibu

    Kwa kweli tulikua tunaingoja kwa hamu sana

    Jibu

    Hapa ni kuweka mkeka wa maana maana tulimis sana hivi vitu

    Jibu

    Habari njema kwetu mashabiki#meridianbettz

    Jibu

    Ligi pendwa imarejea good news

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Good news#meridianbetz

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa kubeti

    Jibu

    Nawaonea huruma Aston Villa Ila wanaweza wasishuke daraja#Meridianbettz

    Jibu

    Iko gud

    Jibu

    Iko vizur

    Jibu

    Iko pouwa

    Jibu

    nimemisi kumuona mtanzania mwenzagu akipata goli samagoal77

    Jibu

    Dahh raha sana…

    Jibu

    vzur sana tulimis kumuona mbongo wenzetu mbwana sammata

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

    Safii kwa habari

    Jibu

    Samagoal kuendeleza ubabe wake kama kawaida viva samata viva aston villa

    Jibu

    Tnx meridian kwa taarifa

    Jibu

    Sheffield lazima wapata ushindi kwenye mechi hii

    Jibu

    Daaaah ni raha sana

    Jibu

    Maoni:Hii ni habari njema kwa washabik

    Jibu

    Mechi hii itakuwa ngumu sana endapo Aston Villa itapoteza basi safari ya kushuka Daraja na kwenda Championship #meridianbettz

    Jibu

    Hii mechi itakuwa balaa.

    Jibu

    Mtanzania mwenzetu sirmagol tumuombee timu yake isishuke daraja

    Jibu

    Imekaa vizuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.