Sergio Aguero - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Aguero Ajipanga Kuwakabili Valencia

Daily News

Mchezaji wa kimataifa wa Argentina Sergio Aguero anajipanga kucheza mechi ya kwanza tangu ajiunge na miamba LaLiga Barcelona baada ya kupangwa katika kikosi kitakacho menyena na Valencia siku ya Jumapili. …

City Hawana Habari na Sergio Ramos

Daily News

Manchester City haifikirii kumchukua Sergio Ramos msimu huu wa joto, kwa mujibu wa ripoti. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 ameshindwa kukubali makubaliano mapya na Real Madrid licha ya …

Kane Atajwa Kuwa Mrithi Wa Aguero City

News

Siku ya jumatatu, Barcelona ilitangaza Sergio Aguero kama mchezaji wao kwa miaka miwili baada ya kuhama City, kwa upande wa pili Kane ametajwa kuwa mrithi wa pengo la Aguero pale …

Aguero Ataja Mrithi Wa Na. 10

Champions League

Wakati mashabiki  na wadau wa Manchester City wakiwa na huzuni kufuatia kuondoka kwa nyota na legendi wao wa soka, Kun Aguero, mchezaji huyo ameibuka na kutaja mchezaji anaetamani arithi jezi …

Mwisho mwema wa Aguero Man City

Champions League

Sergio Aguero anakaribia kamilisha makubaliano ya kuhamia Barcelona, kwa mujibu wa meneja wa Manchester City Pep Guardiola. Mwisho wake unakuwa wa heri Man City. Aguero alifanya vyema dimbani Etihad Jumapili …

Barcelona Yaanza Mazungumzo na Aguero.

Daily News

  Kulingana na Sky Sports, Barcelona wamefungua mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero kwajili ya kujiunga na miamba hiyo ya kiangazi. Mshambuliaji huyo wa Argentina atakuwa …

Aguero Atamani Kujiunga Barca

Daily News

Mshambuliaji wa timu ya Manchester City, Sergio Aguero amewaambia watu wa karibu juu ya kutaka kujiunga na Klabu ya Barcelona huko Hispania. Kwa sasa inajulikana wazi ya kwamba Mshambuliaji huyo …

1 2 3 4 5 8 9 10