Winga wa Paris Saint-Germain, Angel Di Maria amekiri kwamba huko Barcelona mshambuliaji Sergio Aguero anajisikia vibaya sana baada ya kuondoka kwa Lionel Messi ambaye alikuwa ni sababu kubwa ya yeye kujiunga na The Blaugrana.

Wiki iliyopita tuliona Messi akiondoka Barcelona rasmi na kujiunga Di Maria huko PSG hali iliyomuacha Aguero bila rafiki yake wa karibu.
“Kun anataka kujiua mwenyewe, nini uanweza kufanya,” Di Maria alisema kwa kicheko wakati wa mahojiano na TyC Sport.
“Mbali na hayo yote Messi kuachana na Barcelona kitu kibaya ni kuwa Kun amepata jeraha amabalo litamueka nje kwa muda wa miezi miwili mpaka mitatu.

Messi na Di Maria ni marafiki wazuri ambao wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Copa America mwaka huu.
“Kwangu mimi ni rahisi sana kucheza na Messi yaani ukimbia anakupasia mpira na unafika kwenye miguu yako,” aliezea.
“Messi ni wa dunia yake nimecheza na wachezaji wengi kama Christiano, Neymar, Mbappe, Rooney, Van Persi, Ibrahimovic Benzema, na Bale sijawahi kuona kama yeye, Messi ni wa kipekee.
Unaanzaje siku yako bila kuwa na pesa, Meridianbet kupitia kasino zake za mtandaoni inakupa sababu ya kufanya siku yako kuwa njema. Mchezo maarufu wa Tiki Reward unaweza kukufanya milionea. Cheza sasa kibingwa!



Sania+mapua
Mhh hiyo kali
Sarah
Duhh