grand prix - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

F1: Vettel Amtetea Michael Masi

Formula 1

Bingwa mara nne kwenye mashindano ya F1 Sebastian Vettel anaamini Michael Masi anapaswa kubakishwa kwenye nafasi yake ya ukurugenzi wa mashindano japokuwa alifanya maamuzi ya utata kwenye fainali ya mashindani …

F1: Hamilton Avunja Ukimya

Formula 1

Dereva wa magari ya mbio za langalanga kutoka kwenye timu Mercedes inayoshiriki mashindano ya F1 Lewis Hamilton ametoa neno baada ya kuwa kimya kwa muda refu. Hamilton ambaye alikuwa kimya …

Toto Wolff Ampongeza Max Verstappen

Formula 1

Max Verstappen ameeleza kuwa  boss wa Mercedes Toto Wolff alimtumia ujumbe wa kumpongeza kutokana na ushindi aliyoupata kwenye mashindano ya Formula 1 usiku wa jana jijini Abu Dhabi. Awali Mercedes …

Lewis Hamilton Hafikirii Ubingwa F1.

Formula 1

Hakika, huu ni msimu ambao Formula 1 inashuhudia upinzani mkubwa kati ya Lewis Hamilton vs Max Verstappen. Madereva wawili wanaowania ubingwa 2021. Zikiwa zimesalia mbio 5 tu kumaliza msimu wa …

Verstappen Amkejeli Kiaina Hamilton

Daily News

Max Verstappen alitania “ninaweza kulala” baada ya Lewis Hamilton kusema kwamba mpinzani wake wa taji anaweza kuwa na wasiwasi wakati anapigania taji la ubingwa wa ulimwengu. Dereva wa Red Bull …

Bottas Ampiku Hamilton Italian GP.

Daily News

  Valtteri Bottas alifanya vyema katika raundi ya mwisho na kuwapa changamoto Lewis Hamilton na Max Verstappen kuongeza kasi katika nafasi ya kufuzu mbio za Italian GP na kuongoza kuelekea …

1 2 3 4