grand prix - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Australian GP Imefutwa Kwenye Kalenda, 2021.

Formula 1

Muendelezo wa visa vya Covid19 kama vinavyoripotiwa sehemu mbalimbali duniani, kumeathiri kwa kiasi kikubwa sekta ya michezo. Australian GP imeondolewa kwa mwaka huu. Oktoba 24, 2021 ilipangwa yafanyike mashindano ya …

Callum Ilott Kuitumikia Ferrari 2021.

Formula 1

Wahenga walisema ‘nyota njema huonekana asubuhi’. Haya ni maisha ya kijana chipukizi – Callum Ilott ambaye amekuwa akilelewa na timu ya Ferrari. Baada ya kufanya vizuri kwenye Formula 2 na …

Max Verstappen Mshindi wa Abu Dhabi GP.

Formula 1

Mashindano ya Mbio za langalanga [Formula 1] kwa mwaka 2020 yalimalizwa kwa mbio za Abu Dhabi Grand Prix, Max Verstappen amaliza mwaka kibingwa! Verstappen alianza vizuri kuanzia michezo ya kujiandaa …

Lewis Hamilton Kurejea Uwanjani.

Formula 1

Lewis Hamilton anajitahidi kurejea kwenye ubora wake akitazamia kurudi uwanjani katika Grand Prix ya mwisho kwa msimu huu. Hamilton alikosekana kwenye mbio za Sakhir GP wikiendi iliyopita baada ya kupata …

Lewis Hamilton Abeba Taji la 7 la F1.

Formula 1

2020 ni mwaka uliokumbwa na majanga mbalimbali. COVID19 ikiwa imeathiri sehemu kubwa ya ulimwengu na michezo kwa ujumla. Bado kuna kila sababu ya kusheherekea rekodi mbalimbali zinazoendelea kuwekwa au kuvunjwa …

1 2 3 4