grand prix - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Formula 1 Yafuta Russian Grand Prix

Formula 1

Formula 1 imefuta mbio zilizopangwa kufanyika nchini Urusi za Russian Grand Prix leo siku ya ijumaa kutokana na nchi ya Urusi kuivamia Ukraine. Chama kinachosimamia mashindano ya F1, FIA na …

Hamilton Bingwa Sao Paulo Grand Prix.

Daily News

  Mwanalanga langa mashughuli, Lewis Hamilton amefanikiwa kutwaa ubingwa wa mbio za Sao Paulo GP baada ya kumpiku mpinzania wake Max Verstappen.   Hamilton aliongoza raundi kumi na mbili akitokea …

Lewis Akamata Bahrain Grand Prix

Other Sports

Amekuwa akisumbua kwa kipindi kirefu kutokana na kuvunja historia nyingi sana kupitia mbio za magari. Wapinzani wake wamekuwa wakiogopa hata wanapokutana naye barabarani kwani ana uzoefu uliopitiliza kwenye mbio hizo …

Hatma ya Austrian Gran Prix

Daily News

The Austrian Grand Prix, inaelekea kuwa mbio za kwanza zilizoathiriwa vibaya sana na janga la mlipuko wa ugonjwa wa Corona miongoni mwa mashindano ya ubingwa wa dunia wa Formula One, …

Hamilton: Kila wikiendi ni ukombozi

Formula 1

Muendesha magali ya Langalanga Lewis Hamilton anaamini kwa sasa kila muda atakaopta wikiendi ni muda wa kuikomboa timu yake ya Mercedes ambayo imeshindwa mara mbili kwenye mbio za kutafuta nafasi …

Lewis Hamilton Namuwinda Max Verstappen

Formula 1

Dereva wa Mercedes Lewis Hamilton amejipa nafasi ndogo wa yeye kufanya vizuri kwenye mashindano ya  Bahrain Grand Prix lakini amepanga mipango ya kuweza kumshinda Max Verstappen kwenye mbio zinazofuata kwenye …

FIA Yamvua Ukurugenzi Masi wa F1

Formula 1

FIA yathibitisha kumuondoa Michael Masi kwenye nafasi ya ukurugenzi wa mashindano ya Formula 1 kufuatia uchunguzi uliofanyika wakati akisimamia mashindano ya Abu Dhabi Grand Prix. Kuanzia sasa nafasi ya ukurugenzi …

1 2 3 4