Hatma ya Austrian Gran Prix

The Austrian Grand Prix, inaelekea kuwa mbio za kwanza zilizoathiriwa vibaya sana na janga la mlipuko wa ugonjwa wa Corona miongoni mwa mashindano ya ubingwa wa dunia wa Formula One, wataangalia uwezekano wa kuiendeleza hasa ikizingatiwa kuwa itafanyika pale tu ikiwa bila ya uwepo wa mashabiki viwanjani.

Waandaaji wa mashindano hayo ya tarehe 5 Julai grand prix yanayotakiwa kufanyika Red Bull Ring huko Spielberg waliambiwa na wakuu wa masuala ya kiafya siku ya Jumatano kuwa baadhi ya masuala yanatakiwa kufuatwa kabla haijafanyika.

“Mamlaka zinaangalia suala la kiafya zaidi ya chochote kile kuhusiana na hao waandaaji kwa sasa,” Rudolf Anschober aliiambia Radio O1.

“Tutaendesha michezo hiyo katika hali za kuzingatia sana afya za wananchi na inatarajiwa, endapo itafanyika, kufanyika bila ya kuwepo mashabiki waliokusanyika sehemu moja.”

The Austrian Grand Prix, inaelekea kuwa mbio za kwanza zilizoathiriwa vibaya sana na janga la mlipuko wa ugonjwa wa Corona miongoni mwa mashindano ya ubingwa wa dunia wa Formula One, wataangalia uwezekano wa kuiendeleza hasa ikizingatiwa kuwa itafanyika pale tu ikiwa bila ya uwepo wa mashabiki viwanjani. Waandaaji wa mashindano hayo ya tarehe 5 Julai grand prix yanayotakiwa kufanyika Red Bull Ring huko Spielberg waliambiwa na wakuu wa masuala ya kiafya siku ya Jumatano kuwa baadhi ya masuala yanatakiwa kufuatwa kabla haijafanyika. “Mamlaka zinaangalia suala la kiafya zaidi ya chochote kile kuhusiana na hao waandaaji kwa sasa," Rudolf Anschober aliiambia Radio O1.  "Tutaendesha michezo hiyo katika hali za kuzingatia sana afya za wananchi na inatarajiwa, endapo itafanyika, kufanyika bila ya kuwepo mashabiki waliokusanyika sehemu moja." Aliliambia shirika la Austrian Press Agency (APA): "Sisi tumeshafanya sehemu yetu na tumeshamaliza kabisa." Serikali inataka mbio hizo za magari zifanyike bila mashabiki kuhudhuria viwanjani na watakaoruhusiwa kuwepo ni wale watu wanaoandaa michuano hiyo na vikosi vyao pekee. Mapema wiki hii, bosi wa Formula One, Chase Carey alilenga msimu mpya uanze katika taifa la Austria baada ya French Grand Prix kufutwa na mashabiki kutoruhusiwa kuhudhuria michuano ya British kwenye Silverstone mnamo tarehe 19 Julai. Hii French Grand Prix, ambayo ingetakiwa kufanyika mnamo tarehe 28 Juni, ilikuwa ni mbio za 10 kwa msimu huu kuahirishwa na kusimamishwa. “Tunakusudia kuanza mbio za magari Ulaya kuanzia mwezi Julai na mwanzoni mwa mwezi wa Septemba, ambapo mbio za kwanza zitaanza kutimua vumbi wikiendi ya tarehe 3-5," Carey alisema hayo alipohojiwa. “Septemba, Oktoba na Novemba zitawakuta wakiwa kwenye michuano ya Eurasia, Asia na Americas, watakaomaliza msimu kwenye Gulf mnamo mwezi Desemba kukiwa na Bahrain kabla ya fainali zitakazofanyika pale Abu Dhabi, zikiwa zimekamilisha mbio kati ya 15-18." Hata hivyo, pia Carey alisema kwamba anatarajia mbio za kwanza za magari zitafanyika bila ya uwepo wa mashabiki.Aliliambia shirika la Austrian Press Agency (APA): “Sisi tumeshafanya sehemu yetu na tumeshamaliza kabisa.”

Serikali inataka mbio hizo za magari zifanyike bila mashabiki kuhudhuria viwanjani na watakaoruhusiwa kuwepo ni wale watu wanaoandaa michuano hiyo na vikosi vyao pekee.

Mapema wiki hii, bosi wa Formula One, Chase Carey alilenga msimu mpya uanze katika taifa la Austria baada ya French Grand Prix kufutwa na mashabiki kutoruhusiwa kuhudhuria michuano ya British kwenye Silverstone mnamo tarehe 19 Julai.

The Austrian Grand Prix, inaelekea kuwa mbio za kwanza zilizoathiriwa vibaya sana na janga la mlipuko wa ugonjwa wa Corona miongoni mwa mashindano ya ubingwa wa dunia wa Formula One, wataangalia uwezekano wa kuiendeleza hasa ikizingatiwa kuwa itafanyika pale tu ikiwa bila ya uwepo wa mashabiki viwanjani. Waandaaji wa mashindano hayo ya tarehe 5 Julai grand prix yanayotakiwa kufanyika Red Bull Ring huko Spielberg waliambiwa na wakuu wa masuala ya kiafya siku ya Jumatano kuwa baadhi ya masuala yanatakiwa kufuatwa kabla haijafanyika. “Mamlaka zinaangalia suala la kiafya zaidi ya chochote kile kuhusiana na hao waandaaji kwa sasa," Rudolf Anschober aliiambia Radio O1.  "Tutaendesha michezo hiyo katika hali za kuzingatia sana afya za wananchi na inatarajiwa, endapo itafanyika, kufanyika bila ya kuwepo mashabiki waliokusanyika sehemu moja." Aliliambia shirika la Austrian Press Agency (APA): "Sisi tumeshafanya sehemu yetu na tumeshamaliza kabisa." Serikali inataka mbio hizo za magari zifanyike bila mashabiki kuhudhuria viwanjani na watakaoruhusiwa kuwepo ni wale watu wanaoandaa michuano hiyo na vikosi vyao pekee. Mapema wiki hii, bosi wa Formula One, Chase Carey alilenga msimu mpya uanze katika taifa la Austria baada ya French Grand Prix kufutwa na mashabiki kutoruhusiwa kuhudhuria michuano ya British kwenye Silverstone mnamo tarehe 19 Julai. Hii French Grand Prix, ambayo ingetakiwa kufanyika mnamo tarehe 28 Juni, ilikuwa ni mbio za 10 kwa msimu huu kuahirishwa na kusimamishwa. “Tunakusudia kuanza mbio za magari Ulaya kuanzia mwezi Julai na mwanzoni mwa mwezi wa Septemba, ambapo mbio za kwanza zitaanza kutimua vumbi wikiendi ya tarehe 3-5," Carey alisema hayo alipohojiwa. “Septemba, Oktoba na Novemba zitawakuta wakiwa kwenye michuano ya Eurasia, Asia na Americas, watakaomaliza msimu kwenye Gulf mnamo mwezi Desemba kukiwa na Bahrain kabla ya fainali zitakazofanyika pale Abu Dhabi, zikiwa zimekamilisha mbio kati ya 15-18." Hata hivyo, pia Carey alisema kwamba anatarajia mbio za kwanza za magari zitafanyika bila ya uwepo wa mashabiki.

Hii French Grand Prix, ambayo ingetakiwa kufanyika mnamo tarehe 28 Juni, ilikuwa ni mbio za 10 kwa msimu huu kuahirishwa na kusimamishwa.

“Tunakusudia kuanza mbio za magari Ulaya kuanzia mwezi Julai na mwanzoni mwa mwezi wa Septemba, ambapo mbio za kwanza zitaanza kutimua vumbi wikiendi ya tarehe 3-5,” Carey alisema hayo alipohojiwa.

“Septemba, Oktoba na Novemba zitawakuta wakiwa kwenye michuano ya Eurasia, Asia na Americas, watakaomaliza msimu kwenye Gulf mnamo mwezi Desemba kukiwa na Bahrain kabla ya fainali zitakazofanyika pale Abu Dhabi, zikiwa zimekamilisha mbio kati ya 15-18.”

Hata hivyo, pia Carey alisema kwamba anatarajia mbio za kwanza za magari zitafanyika bila ya uwepo wa mashabiki.

11 Komentara

    Ni kweli bora kuendeleza bila mashabiki

    Jibu

    Itakuwa poa bila mashabiki

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Corona imejua kuharibu Mambo

    Jibu

    Tuombe mungu janga liishe tu

    Jibu

    Nibora iendelee 2 bila mashabiki mm naona nisaw

    Jibu

    Japo itakuwa ngumu kwa grand prix ila msimu ina bidi uendelee

    Jibu

    Corona ni janga zitoo

    Jibu

    Itakuwa POA bila mashabik

    Jibu

    Mambo yatakua poa tu Mungu mkubwa

    Jibu

    Itakuwa vizuri hata bila mashabiki mana tutakuwa nao tukiangalia kupitia luninga

    Jibu

Acha ujumbe