Chinese GP Yarefusha Mkataba na Formula1 Mpaka 2025

Chinese Grand Prix imerefusha kandarasi yake na Formula 1 mpaka 2025, mbio hizo za Shanghai, ambazo hazijafanyika tangu 2019, hazitafanyika tena mwaka ujao kwa sababu ya vizuizi vya coronavirus.

Chinese GP Yarefusha Mkataba na Formula1 Mpaka 2025

Lakini mkataba wa China ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu kwa hivyo mkataba mpya ulihitajika.

China bado inaweza kuonekana kwenye ratiba mwaka 2022, lakini kama mbadala ikiwa moja ya hafla kwenye rekodi ya ratiba ya mbio 23 haiwezi kufanyika.

Rais wa F1 Stefano Domenicali alisema: “Wakati sote tumekatishwa tamaa hatukuweza kujumuisha China kwenye kalenda ya 2022 kwa sababu ya hali ya janga inayoendelea, China itarejeshwa kwenye kalenda mara tu hali zitakaporuhusu.”


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.