Fabinho: Anaamini Liverpool Itanufaika na Mapumziko ya Kombe la Dunia
Kiungo wa klabu ya Liverpool Fabinho anaamini kua klabu hiyo itanufaika na mapumziko ya kombe la dunia ili kuanza kukimbizana na wapimzani wake kwenye ligi kuu ya Uingereza. wakiwa wameanza …