pablo - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Barcelona Open: Nadal Atinga Nusu Fainali.

Tennis

Kunako mashindano ya Barcelona Open 2021, Rafael Nadal ameendelea kuonesha ubora wake kwa kumuondoa Muingereza, Cameroon Norrie kwenye hatua ya robo fainali. Nadal amefuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano …

Luis Suarez Avunja Rekodi ya CR7.

Daily News

Hakika nyota imemuwakia Luis Suarez msimu huu. Baada ya Barcelona kumtema, mshambuliaji huyu amekwenda kuwa lulu na kipenzi cha mashabiki wa Atletico Madrid. Suarez amekuwa mchezaji wa muhimu kwenye kikosi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema kuna uwezekano mkubwa Messi ataondoka Barcelona na kujiunga na PSG msimu ujao, huku mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 21, akitarajiwa kijiunga na Real Madrid. Mgombea urais wa Barcelona …

Nadal Afikia Nusu Fainali Paris

Tennis

KUTOKA PARIS  – Rafael Nadal aliachwa kwa seti na 0-40 kabla ya kurejea kupindua meza na kuchapa raia wa Uhispania Pablo Carreno Busta kwa seti 4-6, 7-5, 6-1 kufikia nusu …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Tottenham wapo mbioni kuingia mkataba mpya wa muda mrefu na mshambuliaji wa Korea Kusini Son Heung-min, 28. Mlinzi wa zamani wa Arsenal Per Mertesacker anasema kiungo wa kati …

Zverev Afuzu Fainali ya US Open 2020

Tennis

Mjerumani Alexander Zverev kwa mara ya kwanza amefuzu fainali ya Grand Slam kwenye Mashindano ya US Open. Mchezo wa nusu fainali ulimkutanisha Alexander dhidi ya Mhispania Pablo Carreno Busta. Busta …

1 2 3 4 5 6