Florentina Zabron Asimamishwa Miezi 6

Mwamuzi Florentina Zabron amesimamishwa kwenye ratiba ya kuchezesha michezo ya Ligi kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo na TFF kutokana na kushindwa kumudu mechi kati ya Geita Gold dhidi ya Yanga.

 

Florentina Zabron Asimamishwa Miezi 6

Mechi hiyo ambayo ilipigwa katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza huku Geita wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo ambapo Florentina aliionea timu hiyo ya Geita kwa kuwapa penati klabu ya Yanga kwa kutafsiri kuwa mchezaji wa timu pinzani alishika mpira kwa mkono.

Lakini baada ya Bodi kukaa na kujidhihirisha na kuona kuwa mchezaji huyo wa Wachimba madini alikuwa nje ya boksi hivyo haikustahili kuwa penati, na baada ya hapo mwamuzi huyo atakuwa nje miezi sita.

Florentina Zabron Asimamishwa Miezi 6

Tukio hilo lilizua taharuki kwa mashabiki na wapenzi wa mpira kwa kuona kuwa Florentina hakuwa sahihi na maamuzi yake na penati hiyo ilipelekea Yanga kupata pointi 3 baada ya kushinda kwa bao 1-0.

Matukio haya yanajirudia sana hapa Tanzania hasa timu ndogo zinapocheza dhidi ya kubwa huwa waamuzi wanakosa umakini kitu ambacho mechi huisha kwa timu ndogo kuonewa kutokana na matokeo hayo.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.