Nado Aahidi Jambo Azam

BAADA ya kurejea kwenye kikosi, Straika wa Azam FC, Idd Nado amesema kuwa mashabiki zake wategemee makubwa zaidi kutoka kwake kwa msimu huu.

Nado alikuwa nje ya kikosi cha Azam kwa muda mrefu hiyo ni baada ya kupata majeraha ya goti ambayo yalimuweka nje kwa miezi kadhaa.

 

Nado Aahidi Jambo Azam

 

Nyota huyo amefanikiwa kucheza mechi ya kwanza dhidi ya TP Mazembe jana ijumaa tangu aanze mazoezi na kikosi hicho.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Idd alisema kuwa “Kwanza nimefurahi sana kurejea tena uwanjani na kuwa sehemu ya kikosi.

 

Nado Aahidi Jambo Azam

“Mashabiki wangu nawaahidi wategemee mazuri kutoka kwangu kwa msimu huu kwani mipango yangu ni kufanya vizuri zaidi ya vile nilivyokuwa hapo awali.”

 

Nado Aahidi Jambo Azam

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.