PACOME ANATUA LEO DAR

KIUNGO maarufu Kwa Sasa ndani ya Yanga Pacome Zouzoua anatarajiwa kutua Dar es salaam leo tayari Kwa maandalizi ya mchezo dhidi ya Mamelody Sundowns, Machi 30.

Pacome alikuwa barani Ulaya kwenye mchezo wa FIFA Series akiwa na kikosi cha Ivory Coast.PACOMEMchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns, uongozi wa Yanga umebainisha kwamba upo tayari kwa mchezo huo na wachezaji wake.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Mamelodi unatarajiwa kuwa Machi 30 2024 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni hatua ya robo fainali.

Acha ujumbe