Simba na Yanga ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa barani Afrika, leo watashuka dimbani kupambania heshima ya soka kwa taifa la Tanzania, mmoja akiwa Tunisia na mwingine akiwa nchi yenye vipaji vingi sana vya soka, Morocco.

Simba Queens wao watakuwa wanacheza michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa upande wa wanawake, dhidi ya Mamelod Sundowns Ladies mchezo wa Nusu Fainali. Kamata mechi zenye odds kubwa leo meridianbet

 

simba na yanga

Mchezo wa kwanza wa Nusu fainali utapigwa majira ya saa 11:00 kwa saa za Morocco, kwa hapa Tanzania na Afrika Mashariki itakuwa ni saa 1:00 usiku. Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya soka la wanawake Simba Queens anaenda kuandika rekodi usiku wa leo Jumatano Novemba 09, 2022 ya kucheza Nusu fainali. Odds kubwa na bomba za meridianbet

Yanga

Bila Kusahau Yanga SC wao watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Club Africain ya nchini Tunisia kwenye uwanja wa Hamad Agrebi Olympic, katika mchezo wa leo ili Yanga Afuzu hatua ya Makundi anapaswa ashinde mchezo wa leo au kama akishindwa kushinda basi apate sare ya magoli yeyote. Usisiahau kubeti na meridianbet kwani wanatoa odds kubwa haijawahi kutokea.


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

AVIATOR

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa