ALEX MORGAN Yuko Tayari Kusepa Tottenham

ALEX MORGAN yuko tayari kuondoka Tottenham kurejea Marekani katika Mwaka Mpya.

Nyota huyu mwanamke wa USA alihamia timu ya wanawake ya Spurs kutoka Orlando Pride mnamo Septemba na alifunga mara mbili katika mechi tano za WSL

Morgan, 31, mshindi wa Kombe la Dunia mara mbili, alijiunga na klabu ya Spurs kwa mkataba wa mda mfupi kufuatia katika dirisha la uhamisho wa kiangazi.

Mshambuliaji huyo wa Marekani alikuwa amefunga mara 107 katika mechi 170 kwa taifa lake kabla ya kuwasili kwake Spurs.

Alex Morgan
Alex Morgan

Na amecheza kwa mara ya mwisho akiwa kwenye jezi ya Spurs akipata fursa ya kupiga penati katika ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Aston Villa ambao wanashikilianafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi.

Morgan aliiambia tovuti ya kilabu kuwa wakati wote ataishukuru klabu kwa ushirikiano na huduma nzuri kwake pamoja na familia yake.

“Asante kwa kila mmoja aliyesaidia kuufanya ukurasa huu katika safari yangu ya soka kuwa wa kipekee.” -Alex Morgan

Tottenham wamemtakia heri nyota huyu na kusema kuwa ilikuwa poa sana kwao kuwa naye na kushirikiana naye pamoja. Wanaamini atafanikiwa zaidi katika mipango yake ya baadaye.


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

21 Komentara

    Morgan bak spurs

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Dhuuu

    Jibu

    Daaah why?

    Jibu

    Duu ila ni maamuzi yake kuondoka ama kubaki

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Duu ngoja tuone

    Jibu

    Farewell Champ

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Morgan angebaki tu spurs

    Jibu

    All ze best Alex

    Jibu

    Aende tu

    Jibu

    Aondoke tu

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Kambo popote

    Jibu

    Vizuri maisha popote panapo tatutia Liziki kwaiyo ataakiondoka nimamuzi yake yeye

    Jibu

    Morgan, 31, mshindi wa Kombe la Dunia mara mbili, alijiunga na klabu ya Spurs kwa mkataba wa mda mfupi kufuatia katika dirisha la uhamisho wa kiangazi.

    Jibu

    Maamuzi Ni yako fanya unacho jisikia

    Jibu

    Jambo popote

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Asepe tu

    Jibu

Acha ujumbe