Allegri Kuwa Mrithi wa Zidane

Real Madrid wanaripotiwa kuwa wanamtazama mkufunzi wa zamani wa Milan na Juventus Massimiliano Allegri kama mrithi wa Zinedine Zidane msimu huu wa joto.

Mustakabali wa kocha Mfaransa na Los Blancos unaonekana kutokuwa na uhakika, kwani ripoti nchini Uhispania zinadai atabadilishwa mwishoni mwa kampeni ya sasa.

Allegri Kuwa Mrithi wa Zidane

Cadena SER anaripoti kuwa mshambuliaji wa zamani Raul Gonzalez, ambaye kwa sasa ni kocha wa Real Madrid Castilla, amepangwa kama mrithi wake, lakini chaguo la pili ingekuwa Allegri.

Kituo hicho kinadai kuna watu wengi ndani ya uongozi wa Madrid ambao wangependa kumtegemea mkufunzi aliye na uzoefu zaidi na Bwana huyu kutoka Livorno anachukuliwa kuwa na vigezo vyote vinavyowavutia, hasa kuwa kama kocha mwenye ujuzi anayeweza kusimamia vyema kikosi katika chumba cha kubadilishia na shinikizo la Kazi kwa ujumla wake.


 

TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

14 Komentara

    Allegri yupo vizur

    Jibu

    Vizuri Sana 👍

    Jibu

    Apambane Sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Itapendeza sana akiwa mrithi

    Jibu

    Kila lakheri allegri

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Itapendeza

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Saf kwake

    Jibu

    Jamani wangemuacha zidane

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.