Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza. Christian Eriksen aliwika EPL na siku chache zilizopita alinukuliwa akiwekawazi hana mpango wa kurudi EPL, sasa Inter wamemuweka sokoni rasmi!
Eriksen alijiunga na Inter Milan mwezi Januari akitokea Tottenham na alisaini mkataba wa miaka 4 na nusu. Maisha ndani ya Inter yamemuendea kombo akiwa amecheza michezo 25 pekee ndani ya miezi 12.
Mkurugenzi wa Inter – Marotta ameamua kusafisha hali ya hewa kuhusu mchezaji huyo ndani ya kikosi cha timu hiyo.

“Tunajaribu kuwaridhisha wachezaji wanaotaka kuendelea kucheza mara kwa mara, baada ya hapo tutaangalia ni wachezaji gani tunaweza kuwabadilisha. Eriksen yupo kwenye orodha ya wachezaji tunaowauza.
“Sio adhabu, lakini mipango yetu haijafanikiwa. Ni vyema zaidi tukampatia nafasi ya kwenda kucheza zaidi sehemu nyingine.” Alisema Marotta
Huenda mchezaji huyo akawa amemaliza maisha yake ndani ya Inter hii ni baada ya kuruhusiwa na klabu hiyo kurejea nyumbani kwao (Denmark) kusherehekea siku kuu ya kuzaliwa ya mwanae na ataukosa mchezo wa mwisho kwa mwaka 2020.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Shakila mrope
Ni bora lakini mumpatie nafasi ya kwenda kuchezea timu nyingine
warda
Watu wakisha kuchoka ndo unawekwa sokoni daa sio poa
Adelta
Popote kambi wengine wanaona umuhimu wake
Rahmal
Kambi popote pale
Sarah
Uwamuzi wake mwenyewe
Ernest Kimeru
Umri umeshamtupa mkono Eriksen
farida ahmad
Maamuzi yake
Saupha mohamed
Kambi popote
Caroline
Safi sanaaa
Lydia Emmanuel Magoti
Safii popote kambi
Issa
Wamemchoka fund
Hopemwaikuka
Kashaishiwa tayar
Tatu
Kambi popote