Brentford Kumrudisha Eriksen Uingereza.

Klabu ya Brentford ipo mbioni kumrejesha Christian Eriksen kwenye soka la Uingereza. Namba 10 ya uhakika itatua EPL?

Eriksen anaweza kurejea Uingereza kwa mara nyingine baada ya kuondoka mwaka 2020 alipojiunga na Inter Milan akitokea Spurs. Aliitumikia Spurs kwa miaka 7 kabla ya kuamua kubadilisha upepo.

Akiwa Inter, alifanikiwa kutwaa ubingwa wa Serie A msimu uliopita kabla ya kupata matatizo ya moyo akiwa na timu ya Taifa ya Denmark kwenye mashindano ya Euro 2020.

Kufutia shida ya moyo aliyonayo, Eriksen amelazimika kuvunja mkataba wake na Inter na sasa, ni mchezaji huru.

Inaripotiwa kuwa, Brentford ipo kwenye mazungumzo na machezaji huyo ambaye, watampatia mkataba wa awali (miezi 6) ambao unauwezekano wa kuongezwa mwaka mmoja zaidi.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe