Klabu ya Borrusia Monchengladbach imemtangaza Daniel Farke kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya kusiani mkataba wa kuingoza klabu hiyo hadi mwaka 2022.

Daniel Farke alinza karia yake kwenye klabu ya SV Lippstadt, kuanzia mwaka 2009 hadi 2015 kama mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo, kwa miaka sita aliyoitumia SV Lippstadt alifanikiwa kuingoza kushinda kombe la ligi mara mbili mfurulizo.

Daniel Farke, Daniel Farke Kocha Mpya Borrusia Monchengladbach, Meridianbet

Mwaka 2015 alichukua mikoba ya kuinoa kabu ya Borussia Dortmund II, timu ikiwa chini yake alifanikiwa kuingoza kushika nafasi ya pili  kwenye ligi ya Regionalliga West kwenye msimu wa 2016/17.

Majira ya kiangazi mwaka 2017 Daniel Farke alichukua mikoba ya kuinoa Norwich City, na  alifanikiwa kuingoza klabu hiyo kurudi kwenye ligi kuu ya Uingereza. Japokuwa kwa sasa imeshuka tena na msimu ujao haitakuwepo kwenye EPL, Farke na Norwich wameachana rasmi kwenye wiki ya 11 msimu uliopita.

Baada ya hapo akachukua hatamu ya kuinoa Krasnodar january 2022. Kuafutiwa kuzuka kwa mapigano kati ya Urusi na Ukraine Daniel Farke alivunja mkataba na klbua kutokana na kutokuwa na mashindano yoyote ambayo yanaendelea nchini Ukraine.

Daniel Farke alizungumza na waandishi hii leo baada tu ya kutangazwa kuwa kocha wa klabu hiyo.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa