Baada ya msimu mrefu wenye zaidi ya mechi 38 kwenye ligi ya EPL na Seria A sasa kilele kuamua bingwa wa ligi hizo kubwa duniani nani bingwa wa msimu wa 2021/22 !

EPL ni vita kati ya Manchester City na Liverpool ambapo yoyote leo anaweza kutawazwa kuwa bingwa wa ligi hiyo ikiwa atapoteza mchezo wake wa mwisho, huku Italia ni vita kati ya Inter Milan na AC Milan yoyote anaweza kutawazwa kuwa bingwa ikiwa atapoteza mchezo wa wake wa mwisho.

EPL, EPL na Seria A Bingwa kupatikana Leo!, Meridianbet

Timu 20 zinatarajiwa kucheza kwenye ligi ya EPL kwenye viwanjwa kumi tofauti ili kufunga pazia la ligi hiyo na kumpata mfalme mpya, michezo yote ya Premier League itachezwa saa kumi na mbili kamili.

 • Arsenal vs Everton
 • Brentford vs Leed United
 • Brighton & Hove Albion vs West Ham United
 • Burnley vs Newcastle United
 • Chelsea vs Watford
 • Crystal Palace vs Manchester United
 • Leicester City vs Southampton
 • Liverpool vs Wolverhampton Wanderers
 • Manchester City vs Aston Villa
 • Norwich City vs Tottenham Hotspur

Huku Serie A kukiwa na mechi tano tu ambapo timu kumi zitakutana kwenye viwanja vitano tofauti kwa ajiri ya kumalizia michezo yao.

Ratiba Ya michezo Ya Serie A

 • Spezia vs Napoli
 • Inter Milan vs Sampdoria
 • Sassuolo vs AC Milan
 • Salernitana vs Udinese
 • Vanezia vs Cagliari

TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa