Ni Kwanini Timu ya Hispania Huwa Hawaimbi Wimbo Wao wa Taifa? Majibu Haya Hapa

Hispania ni moja ya timu maarufu za kimataifa na imekuwa kwenye kila Kombe la Dunia tangu 1978.

Jezi zao nyekundu na soka safi ni sehemu muhimu ya hafla ya maonyesho ya FIFA kila baada ya miaka minne. Beti mechi zijazo za kombe la dunia na nyingine kupitia Meridianbet, beti na kitochi bila bando, kwenye machaguo spesho ya kombe la dunia yenye ODDS kubwa na bomba, na kama sio mpenzi wa mpira kuna michezo ya kasino mtandaoni napo unaweza kushinda jakipoti kubwa. Beti hapa.

hispania

Lakini je, umewahi kuona kwamba wachezaji, mashabiki na wafanyakazi wao huwa hawaimbi wimbo wao wa taifa unapoanza? Hii ndio sababu…

Wimbo wa taifa wa Hispania ni upi na kwa nini wachezaji wa Hispania hawaimbi wimbo huo kamwe?

Wimbo wa taifa wa Hispania unaitwa ‘La Marcha Real’ na hapo awali ulikuwa  ni wa maandamano ya kijeshi.

Ulitungwa mwaka wa 1761 na Manuel de Espinosa, na ukafanywa kuwa wimbo wa serikali mwaka wa 1770 kabla ya kuwa wimbo wa taifa wakati wa utawala wa Malkia Isabella II (1833-68).

Lakini wakati wa Jenerali Franco akitawala akiwa dikteta katika karne ya 20, maneno ambayo yaliidhinishwa na Franco yaliongezwa.

Lakini mara tu alipoondolewa madarakani, mashairi yaliyoongezwa kwenye wimbo huo yalitolewa nje ya wimbo wa taifa kwa sababu ya uhusiano wao na Franco.


Nyimbo zingine zimezingatiwa, lakini kwa sababu ya utofauti mkubwa wa watu ndani ya Hispania, hakuna mtu ambaye amejaribu kujumuisha yoyote kati ya hizi kwenye ‘La Marcha Real’ kwa kuogopa kukasirisha mtu mwingine.

Kwa hio wimbo wa taifa wa Hispania ni mmoja wa wachache sana ulimwenguni ambao haUna maneno yoyote.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

CHEZA HAPA

 

HISPANIA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.