Mamadou Sakho Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Crystal Palace inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza akiambatana na Mkewe Majda Sakho wiki hii wametembelea Bunge la Tanzania jijini Dodoma.
Mamadou Sakho
Mamadou Sakho

Mamadou Sakho ambaye alitangazwa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa Balozi wa hiari wa utalii Tanzania amezungumza kuhusu Tanzania akieleza kuwa ni mara ya pili kufika Tanzania na amerudi tena kwa sababu ya uzuri na ukarimu wa Watanzania lakini pia ili watoto wake wapate nafasi ya kuona uzuri wa Tanzania na kujua chimbuko lao.

Sakho amegusia “experience” yake katika maeneo aliyoyatembelea ikiwemo Zanzibar na Ngorongoro akisema wachezaji wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusu uzuri wa mandhari wanayoona kutokana na post zake kwenye mtandao wa Instagram na anaamini kuwa wengi wa marafiki zake (wachezaji) watafika Tanzania.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa